Supu ya pweza na uwezo wa kimapenzi

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!

Sirudii tena!
 
Hii nayo kali kashaija bwana, hii ukienda na alfu 50000 bar utachangiwa sana aisee
 
Supu ya pweza sawa, lakini nakushauri kaanga mbegu za maboga na uwe unatafuna kila siku, pia kula ubuyu kwa wingi hapo kaka jogoo mpaka miaka 90 anawika tu kokolikooooo, welaaaaa!

yaani hapo urithi wa babu hadi kwa vitukuu , vilembwe na vining'ina n.k
 
supu ya pweza sawa, lakini nakushauri kaanga mbegu za maboga na uwe unatafuna kila siku, pia kula ubuyu kwa wingi hapo kaka jogoo mpaka miaka 90 anawika tu kokolikooooo, welaaaaa!

yaani hapo urithi wa babu hadi kwa vitukuu , vilembwe na vining'ina n.k

aisee kumbee! Nimepata hiyo...

Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original!

Sirudii tena!

Bora usirudie! hiyo inaywewa kw mipango .....sa we unakunywa tuuuuu! unafikiri break fast hiyo.
 
Supu ya kuku wa kienyeji, Nitamu sanaaa. Pweza ni noma hivi wanawake wakinywa inakuwa kama wanaume?
 
Ha,haaa mi nafikiri ni fikra za mtu ndio zinamfanya aone ivyo je imeshasibishwa na wataalam?
 
Sidhani aisee maana kila mtu anasifia hakumbuki akiwa anaenda kunywa tayari akili ishajiwekea jambo hilo so hamu inakuwepo tu kabla hata supu haijafika mezani
 
Kwa mengi yameongelwa ila nachujua kama utumii lishe bora na mazoezi na kutopenda kufanya kila wakati kwanini usiwe na nguvu za kukutosha?
 
Vyips mayai na vikuku vya kizungu vinawacost watu wengi, ugali kuleni na mlenda, chai kwa mihogo na viazi vitamu ahh hili ni janga la taifa bwana
 
Back
Top Bottom