Nijuzeni,mnaposema "mwanaume yule shababi mna maana gani" i mean vigezo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijuzeni,mnaposema "mwanaume yule shababi mna maana gani" i mean vigezo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Madame B, Apr 9, 2012.

 1. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Swali hilo
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Maana ya shababi ni kijana (youth).

  Sasa kutegemeana na muktadha, huenda mara nyingi hutumika kumaanisha huyo mtu bado damu yake inachemka na ni mwenye nguvu.
   
 3. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Ama ni kushirikiana na al-shabab?
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,160
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Shababi ni mwanaume mwenye nguvu nyingi,ambaye akimkamata demu basi sii chini ya bao5 na kila bao sii chini ya dk20.
   
 5. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na alivyosema Nyani Ngabu hapo Juu


  Kwa mujibu wa Kamusi ya TUKI ..


  Shababi
  * nm [a-/wa-] youth. (Kar)

  .
   
Loading...