Kuna misemo huwa naisikia sana.
wa kwanza ni kwa baadhi ya wanaume ambao wamewatenda wanawake na baadhi ya wanawake wanapokua kwenye mijada wakisimulia waliyotendwa na wanaume. na mwisho wa siku...
Wana jf, katika professional za watu na mahusiano nimekutana na kikao cha watu wakijadili hiyo mada. Wanasema kuwa wanawake wanaofanya kazi ya uuguzi(manesi) ni rahisi sana kutoka nje ya ndoa zao...
Heshima zenu wana MMU,
Mi kuna jambo huwa linanipa shida sana, Hivi inapotokea unampigia simu mpenzi/mchumba/mume/mke au mtu yeyote ambae unamuheshimu ghafla katikati ya mazungumzo yenu unashangaa...
Kuna watu niliwasikia wakisema eti wanaume mabonge tena wenye matunbo kabambe huwa wadhaifu kunako sita kwa sita? na wakimaliza round moja wanahema kama kuku hawawezi kurudia?
nijuzeni mwenzenu.
Nimefiwa na Mama Yangu Mzazi Hospitali ya Selian Mjini Arusha.
Alikuwa na tatizo ya maji kwenye mapafu. Nashauri tuwe tunapima afya zetu kwani tatizo kama hili likijulikana mapema linatibika. Kama...
kuna jamaa alipata binti mkali kishenzi sasa kuna cku binti kaja gheto na jamaa alikuwa na hamu sana sasa alishindwa aanzaje kumwambia binti wafanye sasa cku moja tupo bar tunapiga stori jamaa...
Wana-JF naomba tutoe uzoefu wetu kwenye hii topic ili tu-share kitu/vitu maana ndoa za siku hizi ni kama ujio wa bwana wetu yesu kristo yaani hujui siku wala saa ndoa itakapo kuwa haipo.
Ni kipi...
Kuna habari kuwa kwa sasa wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa operation 'kisu' kuliko natural way. Sababu ni kwamba baada ya kujifungua mambo hayarudi sawa as before! Wakuu, kuna ukweli hapa...
Kuna kipindi kinaitwa cheaters uwa kinaoneshwa kwenye channel ya e.tv kuhusu watu wanaoiba/kusaliti ndoa zao au mahusiano ya kimapenzi. Wachunguzi wanafuatilia mwizi wako akiwa na mke/mme wako na...
Kuna ukweli kwamba mwanamke akifikia age ya 30 na hana mchumba wala mtoto atakuwa kachelewa sana na hana uwezo wa kupata mume na akaolewa na kuzaa watoto?
Naombeni ushauri wadau, Nina mpenzi mpya ambae 2meanza ku date toka mwezi wa pili mwishoni. Kiukweli tunapendana bt tatizo limekuja baada ya x boy wake kumpgia simu akaongea nae afu akakata...
One person once said 'The thinnest title in this world is on what men know about women'. Akimaanisha kitabu chenye kurasa chache zaidi kile ambacho kinaeleza wanaume wanajua nini kuhusu wanawake...
MWANAMKE Sharuna Gimon (30) ameuawa kwa kupigwa na kitu kizito kichwani kutokana na wivu wa kimapenzi wilayani Rungwe mkoani Mbeya.
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Kamanda wa...
Abused Woman Kills Husband, Feeds Him to Cats And Dogs
An Egyptian woman had sex with her husband all the night to exhaust him, waited for him to fall asleep and stabbed him to
death. She then...
Kwa asilimia kubwa wengi wetutumefanya mapenzi katika umri wetu huu tulionao.Na mapenzi haya ni aidha katika ndoa au nje ya ndoa.Kwa uzi huu nizungumzie mapenzi kabla ya ndoa au nje ya ndoa.Ni...
Habari wanawake wa kibongo,imekua nikituma nyuzi kumsaka mrembo humu nakatishwa tamaa na wanaume kua nimepotea,ila naamini sijapotea kina dada warembo.mimi nina miaka 27 na napenda kua na mwanamke...
Akijiamni kuwa haitatokea siku mambo yakawa hadharani, Mzee ambae mtaani tunamheshimu hali yake ni mbaya sana, presha inamsumbua. Kisa alikuwa na nyumba ndogo binti wa staili ya kuitwa mwanafunzi...
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana...