Wanawake wapendelea zaidi kujifungua kwa kisu than natural way?

Calnde

JF-Expert Member
Oct 7, 2008
1,373
277
Kuna habari kuwa kwa sasa wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa operation 'kisu' kuliko natural way. Sababu ni kwamba baada ya kujifungua mambo hayarudi sawa as before! Wakuu, kuna ukweli hapa?

Fact.
Arusha, St Thomas hospital wanasifika kwa kuzalisha kwa kisu. The reason they recommend its because they make a lot of money. Im told of a doctor there who persuade pregnant women to undergo operation. Anawaambi kwanza wataendelea kuwa kama kawaida na atawakwangua mafuta yote tumboni so that they remain slim!
 
Aka mungu anistiri na kisu napenda nizae kawaida ndio raha ya kua mama na unajua uchugu unakuwaje uzuri baadae.
 
Sababu za kupasuliwa:-
1. kuna sababu mbali mbali kitabibu siwezi elezea zote hapa.
2. Uoga uliopitiliza kiasi cha mtu kushindwa kuzaa natural
3. Kukwepa aibu ya matumizi ya kimtandao
4. Kwenda na wakati, hasa kwa ajili ya kutunza shamba la bibi lisiharibiwe.

Ila ni ukweli, kisu ni hasara, mambo haya wezi kuwa kama zamani. Ni kama ufa usiozibika.
 
ukweli ni mtandao tuu ndo unawatisha but natural ni natural tuu,
nisawa nakupenda masabuli ya kichina!
 
Sababu za kupasuliwa:-
1. kuna sababu mbali mbali kitabibu siwezi elezea zote hapa.
2. Uoga uliopitiliza kiasi cha mtu kushindwa kuzaa natural
3. Kukwepa aibu ya matumizi ya kimtandao
4. Kwenda na wakati, hasa kwa ajili ya kutunza shamba la bibi lisiharibiwe.

Ila ni ukweli, kisu ni hasara, mambo haya wezi kuwa kama zamani. Ni kama ufa usiozibika.

mkuu ya nne niuongo mkubwa sana, huu ndo uzushi na ukweli ni kuwa akishajifumgua kunakuwa zaidi ya mwanzo!
 
dah, mnataka kusema kama mtu unapenda mambo ya mtandao huwezijifungua normal?
 
kAMA UNATAKA KUJIFUNGUA KWA KISU NENDA SERIAN HOSP FULL KUCHINJANA ST. THOMAS UNAWASINGIZIA TU WAKO VIZURI NDIO MAANA WENGI WANAPAPENA
 
Kuna habari kuwa kwa sasa wanawake wengi wanapenda kujifungua kwa operation 'kisu' kuliko natural way. Sababu ni kwamba baada ya kujifungua mambo hayarudi sawa as before! Wakuu, kuna ukweli hapa?

Fact.
Arusha, St Thomas hospital wanasifika kwa kuzalisha kwa kisu. The reason they recommend its because they make a lot of money. Im told of a doctor there who persuade pregnant women to undergo operation. Anawaambi kwanza wataendelea kuwa kama kawaida na atawakwangua mafuta yote tumboni so that they remain slim!

Kwa nionavyo mimi ni bora huko kwahala kuwe na mabadiliko kuliko kuliona zipu kwenye tumbo. Mishono mengine hutuna kama pakacha liliofumwa kiasi kuwa kunashusha hamu.
 
Navyojua mie, wamama wengi siku hizi kwa sababu ya lifestyle mifupa ya nyonga haifunguki vizuri, pia watoto wananzaliwa wakubwa kwa sababu hakuna masharti ya diet ya wanawake tena. Ila swala shamba la bibi hakuna kinachochakaza kama sex, kwa hio wote mlioanza inabidi muanze na mazoezi maarufu ya misuli husika, uzazi unasingiziwa tu. Hayo mengine maybe sina uhakika, ila daktari anaekubali kumpasua mama kwa sababu za kicosmetic tu inabidi afungiwe.
 
Kwa nionavyo mimi ni bora huko kwahala kuwe na mabadiliko kuliko kuliona zipu kwenye tumbo. Mishono mengine hutuna kama pakacha liliofumwa kiasi kuwa kunashusha hamu.

Na kisu si kina limit yake?
 
kujifungua kawaida ni kama kujifunga bomu aisee nyie oneni tu mtoto mnaishia kubeba.
 
Back
Top Bottom