Kuna ukweli hapo?

mamkindi

Member
Mar 14, 2012
61
5
Kuna ukweli kwamba mwanamke akifikia age ya 30 na hana mchumba wala mtoto atakuwa kachelewa sana na hana uwezo wa kupata mume na akaolewa na kuzaa watoto?
 
Wacha wewe, mimi najua mwanamke kaolewa akiwa ana miaka 38 na kazaa watoto wanne tayari.


Lakini turudi kwenye ukweli flani, mwanamke anakuwa mtamu akiwa ana umri mdogo...mana skin yake inatereza na wewe unataka kutereza tu, akisha fika age ya 30 kwenda juu anakuwa na ngozi ya kizee zee tena, haterezi kama akiwa 18-25.
 
Si kweli. Ila kuanzia 35, mume atapata ila wakati wa uzazi anaweza pata rabsha maana nyonga zilishaanza kuwa ngumu.
 
Uwezo wa kuzaa na kuolewa anao!

Nijuavyo mimi mwanamke akiwa na 30 afu hajapata mtoto huwa wanasema kachelewa,...
 
Si kweli. Ila kuanzia 35, mume atapata ila wakati wa uzazi anaweza pata rabsha maana nyonga zilishaanza kuwa ngumu.
Na huyo mume itabidi awe mbabu manake 35 hujaolewa wala huna mtoto ni kali... Mwanamke hata akiwa na 30 akapata mtoto, by the time mtoto ana 10 yeye ana 40...hapa inakuwa kama vile bibi analea mjukuu....
 
Back
Top Bottom