Tusemezane kina dada ni kweli haya............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusemezane kina dada ni kweli haya............

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dorcas1234, Mar 22, 2012.

 1. dorcas1234

  dorcas1234 Senior Member

  #1
  Mar 22, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna watu niliwasikia wakisema eti wanaume mabonge tena wenye matunbo kabambe huwa wadhaifu kunako sita kwa sita? na wakimaliza round moja wanahema kama kuku hawawezi kurudia?

  nijuzeni mwenzenu.
   
 2. Chiwa

  Chiwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2008
  Messages: 945
  Likes Received: 283
  Trophy Points: 80
  jaribu uone cha moto!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,993
  Likes Received: 2,715
  Trophy Points: 280
  uhondo wa ngoma....ingia ucheze.....
   
 4. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #4
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Jaribu utapata jibu la uhakika.
   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,432
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  sijui bwana
  na wewe uangalie vitu vya kubeba basi loh
  si vitu vyote vinafaa kwa matumizi ya binadamu utakuja kufa wewe
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Sie wanene halafu wafupi kama funguo za starlet mbona tutapa shida aisee...
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ukweli mtupu, wavivu sana.
   
 8. Who Cares?

  Who Cares? JF-Expert Member

  #8
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 3,445
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  ndio ni kweli ulivyosema maana mie ni mnene na hayo yooote ulosema huwa nayafanya....ila umesahau tuu kuwa hicho kimoja nachopiga ni sawa na vile vitatu wanavyopiga wembamba kwa jinsi mziki ulivyokuwa mnene...mpelampela mwanzo mwisho nikishuka kifuani naongoza kwa kukuchosha kwa mikikimikiki huna tena hamu...kama nimekulia tambuu miksa mirungi/miraa
   
 9. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #9
  Mar 22, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Si ndo hata mimi nashangaa wanapiga kelele.

  Si wanene wote wana maradhi ya sukari na cholesterol, afu kufanya sex si ujanja tu sio lazima uwe una fanya sex kama unakimbia mambio kama uko baharini....mpeleke demu taratibu wacha aone dunia inavyo kuwa tamu kwa mwendo wa taratibu :violin:
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Mar 22, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,846
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kwa muondoko huu utakuwa tu mademu wanakukimbia, lazima iwe haste haste with break in between thats can make it all night long.

  Anza kupiga tizi
   
 11. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #11
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,085
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Dahhhhhh
  Ushauri wa bure

  Ni tabu tupu halafu kama we ni kimbau mbau bora ufanye position ambazo utakuwa
  On top ..
  cow girl, octopus, lap limbo, hot set, Niagara falls etc u
  sijaribu kitu
  Kama missionary, cosma cat, The dragon etc...
   
 12. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #12
  Mar 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,010
  Likes Received: 3,611
  Trophy Points: 280
  Ameuliza if any one has experience and not on how to test his/her hypothesis!
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Dah!! Hapo umesahau Concealed door, The Caress of the bud, Seesaw na Driving the nail home
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Mar 22, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,711
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kwani mchuzi ukitaka kujua kama una chumvi au lah unapaswa kufanya nini? Nafikiri jibu ni kuonja ndio maana akaambiwa uhondo wa ngoma...aingie acheze..ili ajue
   
 15. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #15
  Mar 22, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mbona umeaniacha na hizo style funguka zaid mkuu
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Mar 22, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 70,267
  Likes Received: 27,936
  Trophy Points: 280
  Who taught you all these things?
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,085
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh teh lol
  Usiseme zote bana thread isizamishwe
  Kule ambapo tickets bei gali kuingia .. lol

  Ila anaweza kujaribu magic mountain, leg lock na The Linguini ..
   
 18. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,758
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  hahah......kama pepe kalle!!
   
 19. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,090
  Likes Received: 2,961
  Trophy Points: 280
  Lazima utakua bonge tu wewe!
   
 20. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #20
  Mar 22, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,085
  Likes Received: 2,311
  Trophy Points: 280
  Itabidi niwafungulie thread kule geti kali lol
   
Loading...