Hisia baada ya tendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hisia baada ya tendo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mayenga, Mar 21, 2012.

 1. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Kwa asilimia kubwa wengi wetutumefanya mapenzi katika umri wetu huu tulionao.Na mapenzi haya ni aidha katika ndoa au nje ya ndoa.Kwa uzi huu nizungumzie mapenzi kabla ya ndoa au nje ya ndoa.Ni ukweli ikiwa mwanaume unamfukuzia binti njia mbali mbali hutumika.Kwa kiasi kikubwa wanaume wengi huwa tunakuwa submissive ili malengo yetu yatimie,mwisho wa siku tendo hufanyika.Lakini utafiti usio rasmi unaonesha hisia baada ya tendo kufanyika baada ya tendo watu huvaa sura nyingine.je wewe kipi hukutokea?
   
 2. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #2
  Mar 21, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Mayenga ungeongezea kua ni sura gani wanavaa....
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  sasa ana shida gani yakuwa submisive wakati kasha uona utupu wa huyo dada ukizingatia kuwa hilo ndio huwa lengo kuu la watu wanao jiusisha na ngono kabla ya ndoa
   
 4. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Suure Madam,kuna wengine huvaa sura ya kinyaa,wengine majuto!
   
 5. N

  Nyakwaratony JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Me huona kiabu flani hivi, b4 ku-do ninaweza kumface ila baada ya ku-do weee inatake time mpk nianze tena kumface tena!
   
 6. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jinsia yako?
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0


  hah hahaaaaaaaaaaa...jinsia ya kike i ges....:A S-frusty2:
   
 8. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wakati unaitayarisha hii topic..! vipi haukuiona hii hapa
   
 9. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kama amenisumbua saaaaana... Then baada ya tendo nikakuta wa kawaida... AKINIPIGIA SIMU nitamuuliza "NANI MWENZAAAANGU???"
   
 10. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Dah mie afta ku duu najutia na kukacrika xana.....naeza niciongee na huyo dem tena!
   
 11. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  At least kam ni ke tutaelewa Rose si unajua tuliumbwa hivo. . kama ni me holalaaaa
   
 12. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #12
  Mar 21, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  You ar naughty. .lol
   
 13. mayenga

  mayenga JF-Expert Member

  #13
  Mar 22, 2012
  Joined: Sep 6, 2009
  Messages: 3,746
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  Nadhani ya kwangu ilitangulia Mkuu.Ila ya kwangu is too elaborative.
   
Loading...