Kabla sijaoa nilikuwa nafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma sana.Na ninakumbuka enzi hizo my wife alikuwa chuo alikuwa anakuja kila weekend na ilikuwa hamna kulala yaani round moja bila lisaa limoja...
huwa nasikia kwamba wanaume hawapendi kufuatiliwa na wapenzi/wake/wachumba zao.mf.kumpigia pigia cm upo wap saiv upo na nani wafanya nini? unarudi sa ngap mbona nasikia saut za wanawake umekaa na...
Leo nilikuta mjadala huu kwenye usafiri wetu wa hiace, walikua wakijadili rangi ya mwanamke na mwanaume namna inavyoweza kuwa dili kwenye mahusiano,wengi walionekana kuisifia rangi nyeupe na...
I noticed something. As a person gets older it is more difficult for him to fall in love.
Even if it seems that everything is great and perfect. But the relations may end prompty. Why?
kuna mdada mmoja nimetokea kumpenda tena sana ila ana mimba ya miezi 5 co yangu nimemkuta nayo.kwao ni moro nami niko dar maisha yake ni magumu sana kwani anamtegemea mama yake kwa kila kitu na...
Hayati Daniella Perez
Muuwaji Guilherme de Padua
Mtuhumiwa kizimbani
Mapenzi, haiba, uzinzi, kutoka nje ya ndoa na mauaji vyote hivyo ni chachu ya tamthiliya za Wabrazili ambazo zimeteka...
Wapendwa nimeona kwa leo niwashirikishe katika hili.
Wengi wenu mnapoanzisha mahusiano na wapenzi wapya mnajenga mazingira ya kuficha ili jamii isijue mahusiano yenu. Hilo ni kosa kubwa katika...
Thomas Beatie, who made headlines in 2008 as the only legally recognized man known to have given birth, has separated from his wife of nine years, according to People magazine.
Beatie, who has had...
Rais Jacob Zuma ametangazwa kuoa mke wa sita. Kwa sasa ana wake wa ndoa 3 baada ya ndoa nyingine 2 kusambaratika. Pamoja na huyu mke mpya ambaye umri wake ni mdogo kuliko baadhi ya watoto wa Zuma...
I'm sorry, did you just say I'm too young for so much grey hair?
Parents are careful about what they say to their kids. They even pay attention to questions they might pose to their childfree...
Nawaza, ndoa nyingi tulizo nazo ama zimepangwa au watu wamependana kiukweli. Kwa mfano watu wanamuona uliyempenda haja 'qualify' na wewe wakikulazimisha umuoe/uolewe na wanaomuona ka'qualify' wewe...
napenda funny comments zafanya siku yangu iwe njema,, sitafuti mchumba wala mume wala mpenzi,, ila napenda kupata rafiki wa kucheka nae tuuuu,,,, cheeers!!!
Ahmedy Quasim ni jina langu, umri 21 yrs, naishi Moshi Mjini, wasifu wangu; urefu 5.6ft, ni mwili wangu wa wastani, ni mweusi, kiini cha jicho cheusi, mtanzania, muislam. Vitu ninavyo pendelea...
It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners gather are known to be pick-up joints for women of certain nationalities.
But there are now complains that there seem...
Kijani rijali ukishavuka umri wa miongo mitatu bila kuoa au kuwa na mtoto unasakamwa huko na kule. 'Hivi mwanetu utaoa lini?', utaulizwa na wajomba na shangazi zako. 'Yaani unataka tufe kabla ya...
Niko na binti tumejuana sikuchache zilizopita juzi nikawa na date naye lakini ivi nimeamua niachane naye bcoz of
1.alikuwa kavaliaa na kujipodoa zaidi ya haja, mdomo kapaka rangi kupita kiasi...
habari jf,
mimi ni kijana wa mwenye miaka 26, natafuta mchumba wa kike ambae nitakuja kuishi nae baadae kama mume na mke
Ni mwanafunzi uhandisi wa mawasiliano(finalist), mkristo. Ni mrefu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.