Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wadau? Leo nimekaa sehemu naumwa jino, mawazo fulani yakanijia; what if ningeling'oa? then what if ningeng'oa meno yote mdomoni na hivi sijaoa, what woman will love me? Nikakumbuka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Forget Viagra, the 'Cuddle drug' could be the new way to boost performance in the bedroom 'Cuddle drug' oxytocin could be the new Viagra Taking a chemical that helps mothers bond with...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Do u agree?? Check the clip and give feedback
1 Reactions
30 Replies
3K Views
naomben msada wenu gt nina gf wngu nlsafri bila kumuaga akakasirika cna akasema cmpendi wala kumuheshimu kma ex boi wake nilikasirika cna nikamwambia nimepata gfriend mngne ambae nitamuoa.aliniomb...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Naomba kujua umri wa LULU ili nifahamu kama KANUMBA alikuwa akimbaka au la. Kisheria kama umri wake ni under 18, hata kama kakubali mwenyewe kuwekewa HOGO, KANUMBA atakuwa ni mbakaji. Naomba kujua
0 Reactions
46 Replies
9K Views
Huwa inashangaza sana kuona galfriend akilalama kuwa ile ilikuwa ni "date rape"...................kuwa hakukusudia afanyiwe unyama ule na yule ambaye anamwamini na...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Nilimpenda sana Kanumba na pia nilipenda pia kazi zake. Ni majonzi makubwa sana kifo chake na daima nitamkumbuka. Ili naona kama the media has exaggerated the whole arrangement. Sasa hivi umekuwa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Yabidi nikiri bila ya kificho ya kuwa haya ni kweli kabisa.. na hili situngi na ya kwamba yamenikuta kiukweli ukweli. ni kweli mlandizi husahau bali mtupa maganda hasahau.. Hivi yawaje baada ya...
1 Reactions
23 Replies
7K Views
As salam aleykum wapendwa wangu. Natumai pasaka imekua yenye furaha kwenu. Wapendwa kwa asili mim ni mtu mwenye kupenda utani na mtu ambaye ni vigumu saaana kukasirika.Hakuna binadamu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Heri ya pasaka,kwa kifupi nahitaji msaada wa mawazo,nilikuwa na mchumba mpendwa ktk Bwna kama mimi,na tangu mwanzo tulikubaliana sisi kama wakristo hatutakiwi kufanya tendo la ndoa hadi wkt wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
wanasema kwamba mke wa mtu ni sumu, nimeshuhudia.............Jumapili ilyopita nilipotoka kanisani nikakuta kuna kikao katika nyumba niliyopanga, jamaa mmoja ambaye ni jirani alikuwa na mwenzake...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kama una mpenzi ,mke ,mchumba kisha ukangudua ametoka kumegwa bila ya wewe kumfumania lakini kukawa na mazingila ya kukufanya uhisi hilo jambo na baada ya kumbana mhusika akakili kweli nimetoka...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Lilikuwa ni dirisha lililosukumwa na upepo na kujifunga huku likitoa sauti yenye mshindo mkubwa lililomuamsha toka usingizini.Baada ya kuamka macho yake yalikutana ana kwa ana na giza zito...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
jamanii naomba kuuliza swali ni kwanii jamii siku hizii huanza mapenzi mapema tofauti na zamani
0 Reactions
12 Replies
1K Views
MKAZI wa Kijiji cha kideleko Kata ya Kideleko wilayani Handeni Tanga, Amina Mbwego (35), ameuawa kwa kukatwa shoka shingoni na mumewe. Inadaiwa kuwa chanzo cha tukio hilo ni wivu wa mapenzi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar rafiki zangu humu mm naitwa soud j soud napatikana unguja zanzibar nahitaji girl frend mwenye umri wa miaka 19-23 awe anaridhika na kazi yangu ahsanteni sana call me numbers0774368196 au...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
...nadhani sasa ktk mauhusiano ya kimapenzi imefika mahala tuongeza hiki kifaa kinachoitwa Helment ili kujikinga na mathala makubwa yanayoweza kutokea ktk mikwaluzano ya kimapenzi...KAMA KWELI...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi naamini kabisa kwamba Lulu siyo wa kulaumiwa kwa haya yanayomkuta sasa na badala yake WAZAZI WAKE kama anao ndiyo watu wa kwanza wa kulaumiwa kwa huyu mtoto-Lulu. Wazazi wa Lulu hawakuwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zangu nimekoma. Juzi nilikula supu ya pweza, basi Bwana Mdogo wangu karibu achomoke kwenye makazi yake nikingali kufika nyumbani. Yaani mpaka alivunja kufuli, tena Solex original! Sirudii...
0 Reactions
177 Replies
21K Views
Back
Top Bottom