Wanawake na wanaume weupe. . . . !!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Leo nilikuta mjadala huu kwenye usafiri wetu wa hiace,walikua wakijadili rangi ya mwanamke na mwanaume namna inavyoweza kuwa dili kwenye mahusiano,wengi walionekana kuisifia rangi nyeupe na kuonekana kuvutiwa nayo na si hao tu kuna baadhi ya makabila ukiwa na mtoto wa kike mweupe wewe ni tajiri,mfano usukumani yani ukiwa na mabint wawili tu umeula.Mijini nako vipodozi vyenye kemiko ya kuchubua ngozi vinauzwa kama pipi!Rangi nyeupe ina nini?Binafsi katika pitapita yangu sijawahi kuwa na uhusiano na binti mweupe,so sijajua kama mwanamke anapokuwa mweupe anakua na kitu cha ziada,hebu niambieni mliowahi kuwa na hawa watu wana nini mpaka wawe gumzo kiasi hicho!. . . .Wanawake nao ndani ya hiace ile walisema hata mwanaume akiwa mweupe anavutia!!Hii inaonesha weupe hata kwa mwanaume ni dili,wanawake hebu niambieni mwanaume anapokuwa mweupe anakua na nini?Inaonekana ndo maana vijana wa siku hizi wamekua ni wateja wazuri wa karolaiti!Au huu ni utumwa wa fikra?
 
duh . . . ., nachangia ila niko usingizini.

Kwanza naomba nikubaliane na msemaji hapo juu Godfather kuwa uzuri uko katika jicho la mwonaji.

Weupe peke yake hautoshi kuwa kigezo cha uzuri, ni item moja tu.

Nadhani uzuri ni mkusanyiko wa items tofauti zilizokaa pamoja na mpangilio wake kuvutia mtazamaji.

ndio maana kuna watu wazuri sana weupe kwa weusi.

Unaweza kuwa mzuri wa vitu vingi, ila macho yaparaganyika na kufanya usivutie kiviile, kadhalika rangi.

Nikiacha siasa na kusema black/white, wanawake weupe wazuri kwa kutizama, ila weusi wanajoto zaidi la kupikia.

Wanamme weupe sina hakika sana, ila nao wazuri kwa kuuzia sura, ila weusi hawana harufu kali.
 
mi binafsi sijawahi kuvutiwa na wanaume weupe.
weupe pekee haumfanyi mtu kuwa mzuri/mwenye kuvutia.
kuna watu watu weusi wanavutia kuliko watu wengi weupe na kuna watu weupe wanaovutia kuliko watu weusi.
Ila kusema ukweli mi naona weupe unaficha ficha kidogo hata mtu akiwa hajitunzi sana ila ukutane na mtu mweusi tii ambaye hatunzi ngozi yake utaona direct kuwa hii ngozi ni chafu mana mimafuta na mingozi iliyofia humo humo utaiona wazi na ndio hapo mtu atadhani mtu ni mbaya sbb ni mweusi kumbe ni ngozi nyeusi inaonekana mbaya sbb haitunzwi vizuri.Ngozi nyeusi ikitunzwa vizuri inavutia sana.
 
mwanamke mweupe si kitu bali ni utumwa tu wa fikra waliotupandikizia wazungu kipindi cha ukoloni (european superiority complex)ndiyo inayotutafuna sasahivi.
 
Wako weupe wazuri na wako weusi wazuri.

Wako weupe hawavutii na wako weusi hawavutii.
 
Twende mbele turudi nyuma, kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla weupe ni dili sana. Siyo kwenye mahusiano tu, but hata kwenye masuala mengine kama vile ya ajira.

Jaribu kuchunguza rate ya wanawake wanaoolewa, wengi wao utakuta ni weupe cuz rangi nyeupe always ni attractive. Angalia pia kwenye soko la ajira hasa kwenye banking industry na telecom coys, wanaume na wanawake weupe wengi sana wameajiriwa simply kwa sababu ya weupe wao plus other factors!
 
The hard fact weusi market yao iko chini, sisemi kuwa sio wazuri but its majority huwa wanapendelea weupe.
 
Kweli nowadays swala la uweupe siyo dili sana, swala kubwa nikuangalia mtu anayeweza kufanya maisha nawe na mchapakazi siyo mchapwa hili apate ulaji. Pia wanawake weupe awavutii katika tendo lile mmmhhh kama black wako poa zaidi.

Kampuni nyingi nowadays zinatambua utendaji siyo rangi!!! tena.
 
Back
Top Bottom