Kwa binti aliye tayari kuchukua dhamana ya penzi langu.

Hkeen

Member
Aug 17, 2011
95
4
Ahmedy Quasim ni jina langu, umri 21 yrs, naishi Moshi Mjini, wasifu wangu; urefu 5.6ft, ni mwili wangu wa wastani, ni mweusi, kiini cha jicho cheusi, mtanzania, muislam. Vitu ninavyo pendelea; napenda technology, basketbal, reading, physical execerse , playing game, charting, movie. Kuhusu level ya elimu bado ni mwanachuo. NATAFUTA BINTI ATEYEKUWA RADHI KUNIPENDA NA KUNIHESHIMU NA KUJA KUJENGA NAYE FAMILIA, HIVYO NI JAMBO MAKINI SANA. Sifa nizitakazo; binti mwenye mapenzi ya kweli , umri 18-25 , mweupe mrefu sio chini ya futi 4.5, mwenyetabia njema, mwenye malengo, mwenye kumjua Mungu, mwenye umbo la wastani/mwembamba, mpole, ajiheshimu, mwenye msimamo. Kama ww ni binti na unasifa kama nilizozitaja hapo juu tuwasiliane kwa e-mail; ahmedyquasim@yahoo.com . MAPENZI NI HUMPATE AKUPENDAYE.
 
maliza kusoma kwanza...you have long way to go for this stuff.

oh! Ndio safari ni ndefu! Lol mpaka wapi! , unachotakiwa kujua nilipoandika hii thrd nilikuwa timamu, na sidhani kwamba sikufikiria hili kabla.
 
Sihitaji crtsm humu kama haikuhusu usitie neno muachieni inayemuhusu na anayedhani I CAN BE HER #1 FOREVER, tafadhali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom