Hivi wanawake mna matatizo gani? (kwa wanawake tu).

Ibrah

JF-Expert Member
Mar 22, 2007
2,729
528
Rais Jacob Zuma ametangazwa kuoa mke wa sita. Kwa sasa ana wake wa ndoa 3 baada ya ndoa nyingine 2 kusambaratika. Pamoja na huyu mke mpya ambaye umri wake ni mdogo kuliko baadhi ya watoto wa Zuma, binti huyo (mke mpya) na sifa ya umalaya (aliwahi kubaka) bado amekubali kujitosa.
Hii inanifanya niwaulize wanawake, hivi mna matatizo gani? Ni kutaka umaarufu? Ni kupenda dezo? Au ndio kutimiza unabii wa Nabii Isaya kuwa wanawake saba wataomba kuolewa na mume mmoja ili tu waitwe kwa jina la mume?
 
na men pia muna problem gan kwann na nyinyi mushaona muna mke mmoja then ukaenda tena kutafuta mwengine s utulie tu ,wake kwa kiume hayo matatizo
 
Some men are Devils in everything, highly irresistable and contigeous, they can provoke the ghosts of passion.

Wapo, japo wachache lakini wapo sana, hutaelewa hadi ukutane nao, hata wanawake wapo wa aina hiyo.
 
imekaa kimaslahi zaidi... binti anajua fika kwamba her world will never be the same again...
 
Lulu alikuwa na maslahi gani??

Mbona wanajipanga tena watu na akili zao timamu? Huu ni mfano mdogo, usiu-zoom saaaaana tuanze kumuongelea Lulu, nimetoa tu mfano.

Hata mtaani unakuta kijana mapepe anaoa wake wa maana hadi unashangaa.

imekaa kimaslahi zaidi... binti anajua fika kwamba her world will never be the same again...
 
juu ya yote ni mzeee....sio hendisamu na kuna kila dalili uwezo wake wa kupafomu kitandani ukawa hovyoo kutokana na uzee bado mtu anajiweka hapo,kwa kweli mungu ametuumba waajabu sana ....
 
Rais Zuma, miaka 70, ametangazwa kuoa mke wa 4. Hii ni ndoa ya 6 kwa Zuma, mke mmoja alifariki kwa kujinyonga na mwingine walitengana, hivyo Zuma atakuwa na wake 4 baada ya kuongeza huyu wa sasa ambaye kwa umri ni mdogo au sawa na watoto wa Zuma.
Nawauliza enyi wanawake, hivi mna matatizo gani? Binti hujafika miaka 40 unaenda kuolewa na mzee ambaye anamaliza maisha yake kesho, ni akili gani?
Wanawake, mna matatizo gani? Ni kutafuta umaarufu? Mnatafuta maisha rahisi (ready made)?
 
kweli una hasira,hadi unaposti topic mbilimbili.....tuchukulie poa hivyo hivyo usije shindwa kuoa buree....
 
Rais Zuma, miaka 70, ametangazwa kuoa mke wa 4. Hii ni ndoa ya 6 kwa Zuma, mke mmoja alifariki kwa kujinyonga na mwingine walitengana, hivyo Zuma atakuwa na wake 4 baada ya kuongeza huyu wa sasa ambaye kwa umri ni mdogo au sawa na watoto wa Zuma.
Nawauliza enyi wanawake, hivi mna matatizo gani? Binti hujafika miaka 40 unaenda kuolewa na mzee ambaye anamaliza maisha yake kesho, ni akili gani?
Wanawake, mna matatizo gani? Ni kutafuta umaarufu? Mnatafuta maisha rahisi (ready made)?

Mkuu, unadhani unavyofikiri wewe ndivyo binadamu mwenzako anavyofikiri. Pole!
 
Mwenzio yuko very strategic! Five or ten year, jamaa ana RIP na mdada anarip (sijui ni kureap, nimesahau splg) alichopanda Mzee!
 
Ngoja niwachokoze......... do love ask why? Suppose huyu mmama alimpenda tu Zuma kwa kuwa amempenda, (amekidhi vigezo vinginevyo kama a man of authority (the way he commands, the way he has authority e.t.c) na kuchukulia kuwa mila na desturi haziwazuii kufall in love na already married man..............
 
mbona hii ni very simple....

its power......for god-sake

hata sio lazima iwahusu wanawake..

hata malkia Elizabeth akifiwa na mumewe....

ni wengi mno watakaojitokeza 'kurithi'

its all about power...

wa kumhurumia hapa ni Zuma na wakla sio hao wanawake

hao wanawake wanajua wanachokifanya........na wala sio cha ajabu

ni marudio tu.....
 
Why are you so sure... It may be Love...

yes it could be love

even love for power....

nimejibu zaidi kutokana na mtazamo wa muanzisha thread

kuwa sio kitu cha ajabu kwa watu when it comes to power

but yes it could be love.....

power is sexy
and power makes a man to look attractive.....

so hatujui for sure......but Zuma has power.....that is certain for now
 
Back
Top Bottom