pole sana...sasa unafanyaje wanapokupiga mizinga? hivi hawa watu wa huko hawawezi kujitafutia mpaka wategemee dada yao aiyeolewa? kazi ipo kweliMi nimezaa na mrangi, basi ukoo mzima wananiomba hela, mtoto mwenyewe ana miezi 7 tu sijui akianza kuongea itakuwaje. Afu wanaume kazi yao kuchoma mahindi town.
>Ukioa kwao,wanajazana ndugu! Na wanajua kuomba haoo
>Wanazaa kwao na hutajua ad uoe!
>Washirikina
(si wote) ..wachache nlowah kuwafaham
kwa kweli ni wagawaji wazuri wa uroda,umbea kwa sana,hawakusoma,wanapenda kutajirika ghafla bila ya kutoka jasho na mmoja akitajirika jamii iliyobaki inamsujudia. kwa wanaume sigara kwa sana, mirungi na ulevi
Kuna ndugu zangu wawili wameoa Warangi ni balaa tu. Hawajui hapana.
ni watu wa fadhila sana awajui kusema no..