mambo gani mengine ambayo yanawakera wanaume

CharmingLady

JF-Expert Member
Apr 16, 2012
18,254
12,871
huwa nasikia kwamba wanaume hawapendi kufuatiliwa na wapenzi/wake/wachumba zao.mf.kumpigia pigia cm upo wap saiv upo na nani wafanya nini? unarudi sa ngap mbona nasikia saut za wanawake umekaa na nani nipe niongee nae tena anakereka zaidi anapokuwa na washkaji/vijana wenzie unaanza kumpigia pigia na kumtext "oh kwa vile e ni mwanaume ndo mana unafanya yote hayo" ongeza mengine
 
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana

c ndo hapo,kuna mama m1 ye mumewe alikuwa mlev kila akirud hm anakuwa amelewa sa mkewe akimuulza anapgwa na asipoulzwa anapgwa pia. sa cjui afanyeje,kaz kwel kwel
 
Ni kweli wanaume hatutaki man to man. Hatutaki kuchungwa ingawa wenyewe tunachunga sana wake zetu. Pia huwa hatupendi kuombwa pesa hasa ikiwa nyingi. Hapo huwa tunakata mawasiliano.
 
Mi sipendi wanawake wanavyopoteza muda bila sababu ya msingi.
Wiki nzima unamuambia ajiandae mtaenda kwe party sehemu fulani muda wa saa kumi.
Ikifika hiyo saa kumi ndio anaanza kwenda sokoni kununua maharage, na hapo ni lazima uende nae partyini, ukimuacha panachimbika.
 
......kuulizwa kila wakati unanipenda?.....siku hizi unanidharau...hunijali aaaaaaaarghhhh
 
eh eti mwingine anakuuliza hivi kweli unanipenda au unanichezea tu, mwehu kweli nkuchezee we mdoli.. Mnatakiwa kujiamini banah
 
fungukeni fungukeni ili tufahamu,make wkt mwngne mtu huwa anafanya kitu au jambo flan akihisi yuko sawa kumbe mwakereka afu hamsemi. ila mkifunguka twajirekebsha.
 
fungukeni fungukeni ili tufahamu,make wkt mwngne mtu huwa anafanya kitu au jambo flan akihisi yuko sawa kumbe mwakereka afu hamsemi. ila mkifunguka twajirekebsha.

kwanini usingemuuliza mtu wako, ingekua powa sana maana humu utaambiwa na anavyovipenda huyo wako..
 
Kila mtu anatakiwa achukue position yake,mwanaume awe mwanaume na mwanamke awe mwanamke. Mmoja akitaka kuwa sawa na mwenzie hapo ndio matatizo huanza.
 
kwanini usingemuuliza mtu wako, ingekua powa sana maana humu utaambiwa na anavyovipenda huyo wako..

me wangu ni mgumu kusema kuwa hapo umekosea mara nyinngi hunyamaza tu. sa ni bora nikapata highlight hapa cos tabia nyingi za wanaume hufanana!
 
dah mwanaume unayekosea na ye akanyamaza asikwambie kitu... There is smthng wrong

co kukosea in such... mfno unamuulizauliza mara uko wap, unarud saa ngap uko n Nani huko aliko anakuwa anakereka but akirudi yashaisha ila kiukweli huwa anaboreka bt anakuwa anamezea tu. kupitia jf mtu anaweza kujirekebisha
 
Back
Top Bottom