Utata

Ebde

Member
Apr 20, 2012
12
0
Wan jf nambïen kama nikweli ktk mausiano ya mapenz kusema" wanaume wanawachezea mabint/wamawake"....
 
Hata kama ni kweli... sometimes wanawake wenyewe ndio tupo responsible kupelekea kuchezewa. Na siku hizi ngoma draw hata mabinti wanachezea wanaume zao. Ni kuomba tu Mungu upate mtu alo genuine.
 
Ni kweli hasa wakati wa kufanya mapenzi huwa ni lazma wachezeane,hata mie huwa nafanya hivyo/
 
wakati mtu anakuchezea wewe unafanya nini? Wanawake wanatakiwa wawe responsible na maisha yao la sivyo wataishia kulalama, lets say mwanaume ameoa anatembea na mwanamke bado anamdanganya atamuacha mkewe mwanamke anakubali akija kushtuka atasema amechezewa?
 
ukisoma mazingira na alama za nyakati huwezi kutoa malalamiko kwamba unachezewa unless you are too naive to get yourself involved in matters of the heart...
 
Kila mtu mwenye utashi yuko responsible kwa maamuzi yake, kutest na kusoma kama mtu anakudanganya au ni mkweli, sasa wewe ukisema unachezewa kwani ulishikiwa bunduki ukapelekwa huko mafichoni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom