Gym inaweza rudisha heshima ya ndoa yako kabisaaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gym inaweza rudisha heshima ya ndoa yako kabisaaa.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by manuu, Apr 21, 2012.

 1. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Kabla sijaoa nilikuwa nafanya mazoezi ya kunyanyua vyuma sana.Na ninakumbuka enzi hizo my wife alikuwa chuo alikuwa anakuja kila weekend na ilikuwa hamna kulala yaani round moja bila lisaa limoja na kwa style zote nilikuwa sitoki juu kabisa.Tulipokuja kuoana nikapumzika mazoezi ya gym,Tumbo likawa kubwa mpaka nikafikisha kilo 92 na hapo hata perfomance ikapungua sana kwani round 1 nikichelewa sana ikawa ni dakika 15 tu kwishney mpaka wife ananiuliza kulikoni siku hizi mbona fasta sana?Nina miezi nane sasa tangu nianze tena GYM kwanza nimekata weight nina kg 81 sasa yaani nimeamisha ngurunyi za tumbo zimeamia kifuani ,kwenye shoulder,mikono yaani nimerudi kama enzi zile.Na kwenye bed moto si wakitoto yaani sasa hivi bila dakika 50 au lisaa hakijaeleweka. Ninachoshukuru hadi wife sasa anaridhika mpaka mpaka anatamani kunifungia ndani nisitoke.Kwa wanaume wote please anza mazoezi sasa kama ulikuwa ufanyi.
   
 2. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapa sinyanyui vyuma na mziki huu ni cd laki saba
  Nikinyanyua si itakuwa balaa sana
  Ushauri wako
  OTIS
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We ndo naniii nini? Maana nae tangu aanze kwenda gym haishi kujifagilia!!
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  manuu, kwanza jibu, ilikuwaje yule dada?
  Ulibandua? Au ilikuwaje?

  Huwezi kuturusha roho kulea afu uje hapa na story mpya kabla ya kujibu maswali yetu kule.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. J

  John W. Mlacha Verified User

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  mimi nikinyayua vyuma nitamuua huyo gf mwenyewe
   
 6. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe labda una matatizo tu, mbona mimi nilikuwa na tumbo kama la kikwete nalikuwa sifungi goli haraka mpaa nifike dakika 45, tena mpaa nisikia timu nayo cheza nayo inanilazimisha nifunge bao ndo nafunga

  Lakini mazoezi yanasaidia tu vitu vingi, hata mimi toka niondoe tumbo naona narudi kuwa young na babe wananilia kwa sana tu.
   
 7. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Umeonaaeeh kitambi kinazidisha uvivu....
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama nakupata vileeee,haha.
  Safi sana,hiyo kitu ya ukweli lakini usisahau
  kukimbia pia kwa ajili ya kutengeneza pumzi.
  Na gym usizidishe saaaana,kuna kipindi nilikua natembea kama
  dume la nyani vile,so inabidi uwe na vipimo.
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Koh koh koh.
  Kongosho nina kikohozi usinichekeshe.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mmmmh,una wake wangapi?
  Just curious.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Huyu jamaa ananikoholesha hata mie.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Tutafika

  Tutafika JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Nov 4, 2009
  Messages: 1,395
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 160
  huna integrity ya kuleta mada hapa nikaongea chochote!
   
 13. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Nna kitambi km cha KOMBA nagonga saba sasa nikienda GYM JE!! ntaua wadau
   
 14. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mke mmoja tu....hao wengine wanalilia niwaoe tu sijasema nime sex nao nilikuwa naongelea mazoezi na faida yake.

  Afu kitambi kiskushtue sana hata kabla ya kuoa kuna wengine wanavyo...hivyo lazima wale wanawake wa nje walisha kipapasa...we hujawahi kuona watoto wa miaka mitano wana vitambi :target:
   
 15. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Yule dada uliyekwenda nae training nje ya nchi si atakuwa aliipata fresh? Welcome back, and finish your story please..
   
 16. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Please Kongosho unanikumbusha mambo nisiyotaka kumbuka kabisa.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Tnx nashukuru mungu nimerudi salama ila ndo namalizia ku edit movie ya jinsi unaweza mshinda shetani nitakutumia usiovu.
   
 18. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Mi si nanii mi ni Manuu labda umechanganya sura tu.
   
 19. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  We mkali ile mbaya.
   
 20. manuu

  manuu JF-Expert Member

  #20
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 4,063
  Likes Received: 9,673
  Trophy Points: 280
  Ila GYM tamu bana haswa ukianza kuona matokeo yake,Inafurahisha sana.
   
Loading...