Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimegundua vijana wengi sana walio kwenye ndoa (wanaume) asilimia kubwa zimu zao zina pasword? Kama huamini mchunguze rafiki yako hapo ulipo! Tatizo ni nini hasa?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Wanajukwaa wenzangu mm ni mwanafunzi ktk chuo kikuu kimoja hapa nchini tatizo langu ni kwamba nina soma chuo kimoja na mama MTU mzimza na ni mke wa mtu tatizo lake haishi kuja chumbani kwangu eti...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
  • Closed
Asanteni, nimeshapata mchumba
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Hey mi naitwa victor umri miaka 18 nipo kidato cha tano natafuta rafiki wa kike dini yeoyote na kabila sibagui umri ni 18 years & ~15 mwanafunzi itakuwa ishu...aliyeserious awasiliane nami kupitia...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafuta marafiki. Wawe waa jinsia zote. Wawe watu wenye tabia njema kwa jamii
0 Reactions
5 Replies
1K Views
je kufanya mapenzi bila kinga ni ishara kwamba mnapendana kwa dhati, nina mpenzi wangu kila siku analalama kuwa simpendi kisa atataka peku peku na mimi sipo tayari,
0 Reactions
40 Replies
9K Views
Kuna msichana mmoja mzuri na anavutia nimetokea kumpenda,nikaanza mchakato wakumtokea.kama mnavyojua wadau huwezi kukurupuka kwenye hili nikaanza mchakato taratibu wakutengeneza friendshp na...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Rais amwita Wema Sepetu chumbani kwake, nia ni kumliwaza. Amtumia gari na mpambe... Habari kamili uk wa 4.... NIKANUNUA GAZETI MAANA YALIKUWA YAMEWEKWA CHINI YA MIPIRA HUWEZI FUNGUA NDANI...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
binafsi mimi ni kijana wa umr wa miaka 27,ni mwanafunz wa mwaka wa tatu chuo cha st John dodoma.natafuta mchumba ambaye mungu akipenda tutakua mwili mmoja hapo baada,dini wala kabila sizingatii...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Sehemu kubwa ya tatizo la perfomance katika majamboz linasababishwa na uchakachuaji wa miili yetu. 1. Matumizi ya dawa/kemikali za kuzuia mimba au kupanga uzazi kwa walio katika ndoa. Kemikali...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Naomba msaada wenu wa mawazo wanajf, niko ktk mahusiano na msichana mmoja kwa muda mrefu sana na niko na mipango naye yaani nahitaji kumuoa lkn kuna rafiki yangu mmoja ambaye anamsumbua sana huyo...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nna rafiki wa kike lakini cha kushangaza nikimwambia kitu lasima akifanyie marekebisho kwanza watu na ataki marafiki zake wajuwe kuna sku nimesafiri kwenda mbeya alilia sana na sasa nimerudi dar...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Toa 'comments' zako tafadhali!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
....and our wives from our friends! Huu ni usemi nilioambiwa na Muisraeli mmoja zamani na leo nimejionea Nimepewa lift kuja Dar na mmoja wa ma-class mates zangu na akang'ang'ania nipitie kwake...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Katika % kubwa ya wanawake ambao hawajaolewa wanaopenda hela sana mara nyingi akishaolewa ni mwanamke wa kujua kutafuta maendeleo na kusaidia kuendesha familia pasipo hitaji tegemezi. Hii ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani najua kuwa vijana wengi tunajikuta ktk wkt mgumu hasa baada ya kuingia ktk maisha ya ndoa, ila nafikiri hatujui tatizo ni lipi mpaka tunafikia hatua ya kuishi na wake zetu wiki 1 au mwezi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Jamani kufuatia mada ya after-sex mistakes naona ipo haja ya kujadili upi ni muda muwafaka wa kurekebishana kasoro zetu ktk majamboz. Mfano umemaliza kuduu na mwenzi wako, lakini baada ya kumaliza...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mahaba ya Pwani..................
4 Reactions
37 Replies
20K Views
Hii ni kwa sababu nikisoma in box zake nyingi wengi wanataka namba za simu na udear sasa wanajf naombeni ushauri wenu nifunge au nisifunge
0 Reactions
30 Replies
3K Views
kWA MLIOZOEA KWENDA KWENDA ULAYA ,ARABUNI NA MAREKANI MWENZIO MI NIPO NATAFUTA DEAL TAMIL,SRI LANKA! HUKO MLIPOKUWA MNASIKIA TAMIL TIGERS ZAMANI KWA NAMNA NILIVYOPOKELEWA HATA SIKUULIZA KUWA HAO...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…