Natamani kufunga account ya fb ya my g friend

3squere

JF-Expert Member
Aug 2, 2011
925
181
Hii ni kwa sababu nikisoma in box zake nyingi wengi wanataka namba za simu na udear sasa wanajf naombeni ushauri wenu nifunge au nisifunge
 
Mwambie abadili status iwe married zitapungua. ila huna sababu ya kuperuz fb na kwenda inbox utajiumiza. mwachie uhuru
 
Abadili status iwe married kabla hajamuoa? Muambie aoe na akicheza dada wea watu anaopolewa juu juu manake wa fb anatangaza ndoa kabla hajakuona teh
Mwambie abadili status iwe married zitapungua. ila huna sababu ya kuperuz fb na kwenda inbox utajiumiza. mwachie uhuru
 
Na yeye anasoma inbox zako? Unawaomba wangapi namba?

Huwa napata picha kule keko kila mtu anamuhisi mwenzie, kha!
Hii ni kwa sababu nikisoma in box zake nyingi wengi wanataka namba za simu na udear sasa wanajf naombeni ushauri wenu nifunge au nisifunge
 
Uifunge account yake kama wewe nani?
Boifurendi? Unenichekesha (FF)
 
I hate control frks... Jus bf tu?we utongozagi?kwan nayeye anatoa namba?sa wewe paswd yake yanin,kama ni mrembo,utakufa kwa concussion! Coz ata cyo fb, kwan upo nae mda wote?mwambie awablock wote na asiwaintatein.
Anyway me ndomana sijajiunga na sitakaa nijaribu..bora uku uku,.mnachangia uzi na ma ex,hawara,mume,bf,ad raha no1 knws u
 
Ameshaliwa huyo na kama hajaliwa, yupo kwenye process ya kuliwa.Believe me or not, utakuja kulalamika hapa siku moja
 
facebook inaua rship sana....mi sitaki kusikia kitu kinaitwa fb...wajanja wengi kule...:A S angel:
 
Sasa unajijua una wivu kwenye inbox ya girlfriend wako unafuata nini?
Kama unataka kumcontrol tangaza ndoa unless otherwise jiamini na umuache mwenzio huru...
 
Hii ni kwa sababu nikisoma in box zake nyingi wengi wanataka namba za simu na udear sasa wanajf naombeni ushauri wenu nifunge au nisifunge

Hapo ni sawa kubadili status lakin lazma awe muwaz, ukiona anajikanyaga chukua tahadhari
 
mie sifungui fb yake, simu na hata email yake. I just believe she is mine, ili maisha yaendelee bila stress.
 
mkuu we acha tu,halafu wengine unakuta hata hawaombi namba,wanamtumia tu namba zao inbox halafu wanamwambia awatafute
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom