We protect our countries from our enemies ... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

We protect our countries from our enemies ...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mtoboasiri, Apr 29, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ....and our wives from our friends! Huu ni usemi nilioambiwa na Muisraeli mmoja zamani na leo nimejionea
  Nimepewa lift kuja Dar na mmoja wa ma-class mates zangu na akang'ang'ania nipitie kwake kupata dinner kabla sijatafuta hotel ya kufikia (Dar ni kwetu ila kibanda nimepangisha na kulala kwa wazee baba ana principle kuwa regardless your age akikutangulia kuingia ndani geti halifunguliwi hadi asubuhi- and I need my freedom). So tukaenda, jamaa hapendi kupiga honi hivyo hujifungulia geti mwenyewe. Alipofungua mlango hamadi! Our mutual friend and class mate yupo garden kavaa pensi nyumbani kwa rafiki yangu na chupa za wine zimetapakaa - it seems he wasn't expected.

  Am doing my best kurudisha amani, will keep you posted!

  UPDATE :
  Tumekubaliana kuondoka na jamaa yangu (niliekuja nae), ila nyumba inafungwa. Mke anakwenda kulala kwa dada yake. Mazungumzo zaidi kesho, but I guess itabidi niue update for obvious reasons!
   
 2. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  jamaa alikuwa anamliwaza na kumpa company shemeji siyo? inaweza isiwe kwa nia mbaya lakini unless kuna evidence kwamba alikuwa anafanya zaidi ya hivyo..
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Unanikumbusha T-shirt moja nilipewa nikiwa mdogo, ilikuwa na picha ya mamba ambae amepanuwa mdomo na meno yako nje halafu kuna maneno haya: "Trust me, I don't bite"!
   
Loading...