Mapenzi ya PWANI atiii....!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,398
Mahaba ya Pwani..................

Attachments

  • Kipepeo.jpg
    Kipepeo.jpg
    33 KB · Views: 2,365
Wacha wee..hapo sasa unakuta hilo kawa limefunika chakula kitaamu...dah lazima utabasamu...
 
Wacha wee..hapo sasa unakuta hilo kawa limefunika chakula kitaamu...dah lazima utabasamu...
Hii nimekutana nayo MKWAJA huko Pangani TANGA mwanzoni mwa mwezi huu............................LOL
 
Haya mambo ya vipepeo mpaka leo yapo?
Nenda Tanga mpaka leo yapo, mie nilinunua vipepeo kama sita hivi nilipokuwa Pangani nikavigawa zawadi kwa marafiki zangu...........walifurahi sana...............
 
Kweli kabisa, feni halifukiziki kwa udi, lakini hapo udi kama kawa, sharti ukipepewa wasikia raha tu.

"Mpenzi nipepee, nna usingizi nataka kulala".

Mijitu ya bara itayajuwaje hayo, wengine hata nguo ni miaka 20 nyuma wacha hiyo.
 
Kule Tanga kuna watu wa bara wengi sana wame-adoupt culture za watu wa kule huwezi hata kuwatofautisha aisee......... Nimekutana na mabinti wa Kinyamwezi, Kingoni, Kirundi na Wahyao na ukiwaona ..... Utadhani wenyeji haswa kuanzia kuvaa mpaka lafudhi..............
 
Kumbe ndo mtindo wakoee,mama ngina akikujua utafanyaje sasa,ngoja nim-DIPU dada Canta!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom