Tatizo la perfomance ktk majamboz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tatizo la perfomance ktk majamboz.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mkwai, Apr 29, 2012.

 1. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Sehemu kubwa ya tatizo la perfomance katika majamboz linasababishwa na uchakachuaji wa miili yetu.
  1. Matumizi ya dawa/kemikali za kuzuia mimba au kupanga uzazi kwa walio katika ndoa. Kemikali hizi hufuja radha halisi ya kiungo husika kwa upande wa kina mama na kumfanya jamaa asipate ile taste ya asili ya usumaku. Hii husababisha wengi wetu kupiga round moja au mbili tu hamu kwisha.
  2. Vyakula na vinywaji vingi tunavokula na kunywa siku hizi havina virutubisho ya asili, vingi vimechakachuliwa. Hili linaathiri pande zote mme na mke....

  ITAENDELEA...

  Utafiti huu ni wangu binafsi.

  Baadhi hamtakubaliana nami, mawazo na mapingamizi yenu itakuwa faida kwa wengine.

  HABARI BANDUGU.
  Mtafiti wenu nipo busy sana kwa kazi zingine za kitafiti; tutaendelea kuwa pamoja kila nitapopata wasaa.

  katika point ya kwanza; hali ya kupoteza hamu ya tendo pia huwaathiri baadhi ya kina dada mara wanapotumia madawa haya, hukosa hamu kwa kipindi chote mpaka dawa zinapokwisha nguvu ndio hurudi katika hali ya kawaida. Nieleweke hapa: waathirika wakubwa ni kina baba, ila hata baadhi ya kina dada huathiriwa nayo pia. hufikia mahali kina dada hujilazimisha kufanya ilimradi tu kuwaridhisha wapendwa wao.
  Turudi kwetu makamanda; wakati hawa wenzetu hawajachakachua, katika majamboz jogoo hachoki kabisa, itafikia mahali mwili umechoka kuendelea na zoezi ila jogoo anakomaa na utamu, na kuuma kabisa. Hii hutokea kwa asilimia 90 ukiwa na kitu ambacho hakijachakachuliwa. Kwa iliochakachuliwa mzee ni 10% tu inaweza ikatokea jogoo akalazimisha.

  Itaendelea.
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe Dah! Mzazi umefafanua vya kutosha, hiyo part 2 nazani ndio itakuwa funga kazi lol
   
 3. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  mkuu hebu dadavua kidogo hapo... una maana kemikali zinasababisha 'k' kupoteza mvuto, mnato etc au?
   
 4. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Kuwa na subra, kasema itaendelea lol
   
 5. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  good..; but nina maswali kama alfu-lela-ulela ya kumuuliza already...
   
 6. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe wala usihofu, jamaa kwa anavojiamini inaonesha kafanya utafiti mpaka magesti hauz
   
 7. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Iyo part 2 sijui itatoka lini?? Maana inavyoingoja ni kama mechi ya man u na man city
   
 8. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Yaani hiyo part 2 si ya kukosa kabisa. Mimi nishaweka usb key tayari, akiiweka tu naidownload. Yaani jamaa limeshiba utafiti kuliko charles darwin
   
 9. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hizi thread naona zinalipa siku hizi
  Ngoja na mimi nipange mada yangu
   
 10. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Deskmate lakini ukuje na ma information ya kutosha kama alivofanya mtafiti wetu kwenye hii sredi azawaizi mauzo itakula kwako lol
   
 11. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Utafiti nilifanya siku nyingi na conclusion nimesha publish:
  Ukileta uvivu kitandani humtendei haki mwenzio, hapo vipi?
  Yani it took 10 years of research to get there, na tunaendelea
  Hapa tupo katika kuchunguza kama migraine ni ugonjwa au uvivu.
   
 12. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Hiyo migraine ni excuse wanayoitumia sana kina dada wanapotaka kuweka mgomo wa usiku.
  Tukirudi kwenye resachi yako, nani unamtupia lawama katika tatizo zima la kutokuridhishana? me au ke?
  Kwa vile mtafiti wetu kaingia mitini wewe utakaimu hii nafasi mpaka arejee lol
   
 13. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, Deskmate you gotta be kidding me!
  toka lini uliona Mwali anatoa somo la ngono?
  Hata hivo mbona naona all look so obvious?
  Kuna haja ya kujadili kweli au ni ushahuri tu?
   
 14. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Deskmate si ulisema anti yako alikufunda last wiki?
  Hii sredi tunajarib kuipeleka mbele tu lakini kama ulivosema hapa hakuna cha kujadili, labda tumsubirie Saint Ivuga halaf tuichakachue
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Anti alinifunda, hapa kwa upande wa theory nimejaa tele
  Sema practice ndio mtihani sasa, labda aje huyo uliemtag. lol
  Where is my cousin Husninyo? umemuona usiku huu?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Yep Husninyo alikuwepo muda si mrefu lakini sasa hivi nazani atakuwa anacheza kidali po na Judgement lol
  hahaha hapo practical hata bodyguard anaweza akavolunteer lakini usimshtue anti yako wala majirani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Mwali

  Mwali JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 7,032
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  :nono:Don't even try Deskmate, nitampigia Uncle sim sasa hivi
   
 18. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu uko sahihi sana tu, mimi hula mihogo, ugali bamia yaani vyakula vya asili na si vya Shoprite vile vya kuigaiga, kweli nafurahi au rijali wangu. Kuna jamaa analaani chipsi balaa takribani miaka minne jamaa alikuwa anapenda sana chipsi mayai, yaliyomkuta ni balaa, alizama gheto na kimwana akashindwa kusimamisha bana, noooooooooooooma! kwa wanaume jamani tujitahidi sana kuacha haya ma vyakula ya supamarket hata nyanya zile za kopo si nzuri kabsaaaa!!
   
 19. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Labda naye yumo pia.
   
 20. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Mkuu hebu rudi haraka, darasa lako nimelipenda
   
Loading...