Huu utafiti ni wa ukweli.

Tidito L

Member
Jan 23, 2011
97
16
Katika % kubwa ya wanawake ambao hawajaolewa wanaopenda hela sana mara nyingi akishaolewa ni mwanamke wa kujua kutafuta maendeleo na kusaidia kuendesha familia pasipo hitaji tegemezi. Hii ni tofauti na wale wanaojifanya watakatifu kwamba wana huruma.
Sina maana kwamba labda wanatumia illegue way kuzipata.
Ushauri wangu kama hujaoa, oa mke wa hivyo ijapokuwa utaumia mwanzoni mwa uchumba wenu ila 4sure kama anakupenda,maisha yako utayapenda mwenyewe.
Achana na mademu wanaojifanya hawapendi hela.
 
Napenda trend ya siku hizi! Wanaume wanaanza kutukubali jinsi tulivyo; sijui hawana machaguo (kutokana na no ya 'nice gjrls' kupungua) au wako attracted na 'bad girls' zaidi kuliko nice girls!
 
Ah! huwezi jua kwa sababu leo weekend inawezekana kabisa hii thread imeuploadiwa toka bar ambako ndiko utafiti ulikofanyiwa and basicaly those are hangouts of gold diggers
 
Back
Top Bottom