Salamu toka tamil, sri lanka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu toka tamil, sri lanka

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KYALOSANGI, Apr 28, 2012.

 1. KYALOSANGI

  KYALOSANGI JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 21, 2011
  Messages: 1,893
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  kWA MLIOZOEA KWENDA KWENDA ULAYA ,ARABUNI NA MAREKANI MWENZIO MI NIPO NATAFUTA DEAL TAMIL,SRI LANKA! HUKO MLIPOKUWA MNASIKIA TAMIL TIGERS ZAMANI KWA NAMNA NILIVYOPOKELEWA HATA SIKUULIZA KUWA HAO WAASI BADO WAPI AU LA!
  hIYO SIYO ISSUE NI KWAMBA NIMEPENDWA NA WASICHANA 5 WA KITAMIL NA MIMI NIMEWATAMANI
  KUMBE MAPENZI HAYAANGALII CULTURAL BARRIERS ....WATOTO HAWA WAMENIAMBIA KUWA WANATAKA NIRUDI NAO TANZANIA WAMECHOKA KUCHAGULIWA WACHUMBA NA WAZAZI WAO!
  AMA KWELI UTANDAWAZI UMELETA NEEMA KWENYE MAHUSIANO ....NAANGALIA NA,MAN YA KUMSHAWISHI WIFE NICHUKUE MMOJA AMBAYE NIMEMTAMANI ZAID KWANI NI MWEUSI MNGAVU KAMA MUHAYA!
  NAOMBENI USHAURI WENU WANA JAMVI!
   
 2. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Mbona kama umesha jishauri!!! Ushauriwe nini tena hapa?
   
 3. k

  kitumanga Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  una balaaa
   
 4. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haaahaaaa! Mkuu unawajua vizuri hao viumbe? Kama umewatamanisha watano na una mpango wa kuchukua mmoja, naona hatari ya kulipuliwa. Halafu una kitendawili cha kumshawishi my wife wako! Wanalijua hilo?! Tamaa mbaya mkuu.
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sri Lankans are very nice people.... you wont regret
   
 6. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Mshawishi tu mkeo utafanikiwa tu.
   
 7. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  we jilipue tu halafu utuletee mrejesho-nyuma..
   
 8. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  we ulikuwa unataka kutujulisha tu kwamba upo sri lanka na unafreak na mademu wa kisrilanka,unauliza ushauri wakati umeshaamua kumchangua wazuri kati ya hao?
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Hawanyoi mavuzi hao...shauri yako.
   
 10. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Duuh! Huu nao ni ushauri !
  Hayaa navishe! Ilimradi maisha yanasonga!
   
 11. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sio kweli.
   
 12. kiLimIlire

  kiLimIlire Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama wanawake ni watu, mkeo anakutosha! Ila kama wanawake ni bidhaa, chukua wote as long as they are cheap
   
 13. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Maamuzi ya mwisho unayo mwenyewe mkuu,ila kwa ninavyowajua mimi wa-Sri lanka wanawake wao ni wachapa kazi na ndio walezi wa nyumba,kwa lugha nyingine wao ndio watafutajia katika familia,so kama huna katazo sio vibaya nakuunga mkono chukua jiko....lakini kwa kuwa uko Sri lanka hebu uliza utaratibu mzima wa kupewa mke maana niliyoyasikia mimi yanatisha kabla kupewa mke inabidi kuna kimila chao fulani lazima kifanyike kati yako na Baba mkwe hebu jaribu kuliulizia hili then tuletee hapa jamvini.
   
 14. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  itabidi atafute slasher kabla ya mpambano teh teh teh..
   
 15. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Utani pembeni ni kweli kabisa, swali ni moja tu...ulijua vipi na wewe ni mwanamke?
   
 16. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Ukiwa mwanamke haukatazwi kujua tamaduni za watu......
   
 17. Dumelang

  Dumelang JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,190
  Likes Received: 1,540
  Trophy Points: 280
  :A S-heart-2:[/F)

  chukua wawili mmoja utaniletea mimi Broda, nitakulipa, habari za kunyoa, mavu..!si geti la chuma kitazama tu alafu kuna majileti na matopazi kibao hapa bongo, tutaki soften :))
   
 18. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  OK, kumbe mlikuwa na siri kubwa sana na yule mfanya kazi wenu :A S shade:
   
 19. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Mfanyakazi gani huyo...kama hujui sema tukutoe ujinga. I came to know about this during my colleage , nilikuwa na dome mate wakitamil and I read it in one of the books.
   
 20. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,840
  Trophy Points: 280
  beba vitu wwe.. kama wife akizingua mpe talaka 3 muhimu
   
Loading...