Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nini hasa kinachosababisha baadhi ya wanawake kushindwa kufafisha tupu zao ?jee ndivyo walivyo kulia, ni mazingira au ni nini hasa kinachosababisha hali kama hiyo?
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Nipo kijiji nimepata kalikizo masaa kadhaa nimekuja kumuonamgonjwa Nimekaa home kidogonikaona nitoke niende kanisani nikafanye maombi kidogo kanisani ni mita kadhaa toka home hapa ...
4 Reactions
97 Replies
8K Views
Je wanawake wanapenda wanaume wa aina gan? pili,mwanaume mwenye sura mbaya anaweza kupendwa na mwanamke mzuri?ukizingtia mshko hna
0 Reactions
18 Replies
2K Views
baadhi ya waandishi na magazeti ya udaku wamekuwa wakitangaza baadhi ya watu maarufu katika swala zima la mapenzi na kuonyesha kwa kiasi kikubwa baadhi ya wapenzi wakitwangana mangumi na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu ,i mean tayari...
0 Reactions
78 Replies
8K Views
Jamani..all my life i have been a good kid.lakin of late i feel like i am loosing it..i just feel like the world revolves around me-at least it should! I am trying to keep this under control but...
1 Reactions
114 Replies
9K Views
Nilisoma thread ya memba flani ambaye alipata ndoto kwamba kuna ndege itapata ajali na nikasoma nyingine kuhusu ndugu aliyekua anakabwa sana usiku. Thread hizo ndizo hasa zilizonisukuma na mimi...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Bi Elizabeth Edward ambaye ni mke wa aliyekua mgombea wa Urais wa USA BW John Edward kua ana kimwana kingine chenye umri wa miaka 30 tu, Bi Elizabeth ambaye anasumbuliwa na saratan ya titi licha...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mama kama unataka ndoa yako idumu na mume wako  akupende sana, kama una haousegirl jitahd kumkabidhi mzee atembee nae huko huko ndani,na usimnyanyase kwa kuwa ni mke mwenzio wa ukweli, mume...
1 Reactions
62 Replies
6K Views
Haya ni malalamiko ya mwanamke ambayo amekuwa akiyatoa hadharani kwa wanaume ambao ni rafiki wa mwanaume ambaye alimpa 'uroda' na kuishia kuhongwa shilingi 2000/= baada ya kupelekewa 'moto' wa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Wana jamvi najikujua ki style hii naomba kuja makabila watani wak na kama kuna historia ya utani huo ulianzaje sio vibaya kwa faida ya wengi kama mim tusio jua haya uwanja wa wanaojua historia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau hii nimeipata mahali, nikaona si vibaya kushea na wanaJF. Ndugu zangu, maisha ya kimapenzi yanahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana kwani kuna changamoto nyingi zinazoweza kujitokeza...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Sijui kama ni sawa au si sawa, msaidizi wangu wa kazi ameniambia kuwa anataka likizo ili aende kwao, hilo kwa roho za kibinaadamu naona ni jambo zuri sana, lakini anataka na mshahara wa mwezi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamaa mmoja alikuwa Uarabuni kikazi. Alipokuwa anakaribia kumaliza mkataba wa kazi, huku kwao wakamfanyia utaratibu wa kumpata mwenza. Ndoa ikafanyika akiwakilishwa na mtu mwingine. Siku iliwadia...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Bofloooooo
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Majuzi hapa kuna mdada nilimsimamia ndoa yake kwa bahati mbaya nikapata habari kuwa kafiwa na baba mkwe kilichonisikitisha ni kuwa yule binti na mmewe walisafiri kwenda msibani siku ya kuzika na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Attraction. Mwenzi wako uliyenae anakuvutia kiasi gani?!Akikushika kwa hisia unatamani ukaribu wake au ni kama gari inayohitaji kusukumwa ndo iwake?! Katika vitu ambavyo naamini vinaweza...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Jamani tuwalinde vijana wetu miaka inavyo zidi kwenda ndo wanazidi kuharibikiwa. Mtoto wa mwenzio ni wako jamani mnaona milegezo hiyo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
50 Things That Girls Should Know About Guys 1. Guys aren’t psychic, mind telling them what you mean? 2. Guys don’t like to be used as pawns in trying to make your friends jealous. 3. Guys tend...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…