Kitu kinachonikera kazini kwangu,ninaona wafanyakazi wenzangu chini ya Mkurugenzi wanajikomba komba kwa boss.HIVI KWA NIN?nikutafta cheo?
Je huwezi pata bila kujipendekeza?Akijependekeza ujue...
mm ni dada wa tz, yaani mbongo mwenzenu nina matatizo kwenye mahusiano yangu naomba ushauri.......... niko na guy 1 2likua na relation nzur kias miaka 3 iliyopita then 2kawa apart az i went far...
Habari wapendwa wa JF, nimekaa nikafikiria sana hili swala nikaona bora niliweke jamvini tupeane mchango. Unakuta umeoa na mwanamke alikuwa anakutegemea kwa kila kitu ingawa kuwa nae anafanyaka...
Alisisimama mbele yangu huku umbo lake likionekana vizuri kwenye nightdress yake ya pink,akawasha taa ya rangi ya bluu. Akapanda kitandani na kuanza kunipapasa kifuani kisha akaanza kuushusha...
Nilimwamini Mrema mwaka 1995 akanigeukia hasa alipokuja kuonyesha umamluki wa upinzani kwa CUF na wapinzani wengine kwa ishara na mwenendo wake wa kuuwa upinzani kwa kuvujisha siri kwa CCM na...
A young and pretty lady posted this on a popular forum like jamii forum in USA:Title: What should I do to marry a rich guy?Im going to be honest of what Im going to say here.Im 25 this year...
Leo nataka nihusike na wale wanaosema kuwa wanatafuta wachumba waliookoka. Ili update mchumba aliyeokoka, ana kuokoka wewe kwanza. Huyo mchumba aliyeokoka atakubarika badaye. Mpokee yesu na...
We as parents need to pay careful attention
A doctor that I know was eating breakfast one morning. A few tables over, there was a little five or six year old little boy that had a runny nose. He...
Tafadhali anayefaham salun nzuri ya kike moshi mjini naomba aniambie iko maeneo gani na jina lake. Wanaojua kusuka na kubondi. Tunakuja harusini huko na sisi ni wageni pande hizo.
Good morning Jeiefu!
Me wala hua sio mtizamaji mkuuubwa sana wa hii kitu,
kinikutatu katika ptapta zangu ndo naangalia.na hivyohivyo jana nikawa
nipo sehem napata riziki yangu ikajileta.
Kiukweli...
Wadau wa MMU,naomba kuuliza,ivi hapa tanzania ni mkoa gani mzuri ambao atleast life liko cheap,ambapo mtu anae anza maisha let say na salary ya kuanzia 400k-600k anaweza kusurvive?
Nini hasa kinachosababisha baadhi ya wanawake kushindwa kufafisha tupu zao ?jee ndivyo walivyo kulia, ni mazingira au ni nini hasa kinachosababisha hali kama hiyo?
Nipo kijiji nimepata kalikizo masaa kadhaa nimekuja kumuonamgonjwa
Nimekaa home kidogonikaona nitoke niende kanisani nikafanye maombi kidogo kanisani ni mita kadhaa toka home hapa ...
baadhi ya waandishi na magazeti ya udaku wamekuwa wakitangaza baadhi ya watu maarufu katika swala zima la mapenzi na kuonyesha kwa kiasi kikubwa baadhi ya wapenzi wakitwangana mangumi na...
Huyu dada mbali na kua na sifa zote za urembo nizitakazo mimi ingawa ni mrefu zaidi yangu bt ananikubari,,,,,yeye ni msomi kuliko mimi tena kaniacha mbali tu,anakazi yake nzuri tu
,i mean tayari...
Jamani..all my life i have been a good kid.lakin of late i feel like i am loosing it..i just feel like the world revolves around me-at least it should!
I am trying to keep this under control but...
Nilisoma thread ya memba flani ambaye alipata ndoto kwamba kuna ndege itapata ajali na nikasoma nyingine kuhusu ndugu aliyekua anakabwa sana usiku. Thread hizo ndizo hasa zilizonisukuma na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.