housegirl ni Mke mwenzio!!!!!!!!

Nambe

JF-Expert Member
Jan 18, 2011
1,451
528
Mama kama unataka ndoa yako idumu na mume wako  akupende sana, kama una haousegirl jitahd kumkabidhi mzee atembee nae huko huko ndani,na usimnyanyase kwa kuwa ni mke mwenzio wa ukweli, mume atakupenda na utakuwa mwanamke a pekee. Mume atakuwa nawah kurudi nyumbani na kingine mshauri aongeze mke muwe wawili watatu ili usijisahau na usiwe na wivu kwa sababu wivu kwa mwanamke hauruhusiwi wivu ni kwa wanaume tu. ( si maneno yangu hayo wanajamvi ni maneno ya bwana anayejiita NABII TITO ameyaandika kwenye kijipamphlet chenye title KUNYWA POMBE NA KUZAA NA HOUSEGIRL SIO DHAMBI KABISA.)
 
Hii sasa ni desparation, kua umtreat mumeo kama mtoto?
kwamba unakua umekubali kua wewe kitumbua chako si lolote
si chochote hadi ale na vingine? Kwamba upo una ishi kwa ajili
ya kumridhisha huyo mume kama Mungu? hasa kwa uzuri gani alio
nao huyo house gal? ajaribu aone kibano cha mbwa mwizi!
 
Heri yetu sisi ambao tunaweza kuishi maisha bila hao ma "house girls"
Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.
 
Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.

Yote anayofanya "housegirl" nayafanya mimi mwenyewe.

Kama shida ni mtu wa kuangalia mtoto, well, nampeleka daycare/preschool.

Sasa unakuta wengine hata hawana watoto lakini wana "housegirl". Really?

Sijawahi kuajiri "housegirl" na sitakuja kuajiri "housegirl".
 
kuna clip yake moja ipo kwenye youtube..
huyu jamaa mie aliniacha hoi, anapita kwenye maeneo ya baa na hoteli akikuta man yuko na girl halaf ana bia anakunywa naanza kuongea nae thena anakitangazia hicho anachkiita kitab chake anakiuza buku,
 
Siamini ninacho kisoma!
mwenzio nilipokuwa nakisoma hicho kujitab chake pia nilichoka, hutaamin kina picha ya mkewe na housegirl wake ambaye mke wake alimuachia atembee nae
 
Hata mimi sijawahi elewa kazi ya housegirl, niseme tu ukweli
Labda hapo baadae nitakapo kua na kazi, familia na mengine
I think ni suala la organization na role distribution ndani tuu.

Mie naona ni uvivu na kujiendekeza! Kuna wengine wana watoto I can
understand, ila uko wewe na mumeo tu ama wewe peke yako eti house
gal. kwa raha justification ipi?
 
hmm hapana aisee huyo sasa sijui anajitahidi kufundisha nini watu.kama ye mkewe alimuacha aichape haucgel yake ndo anataka wote wawe hivyo>??matatizo yake na ndoa yake asitake kuambukiza na wenzie.
 
huyu jamaa mie aliniacha hoi, anapita kwenye maeneo ya baa na hoteli akikuta man yuko na girl halaf ana bia anakunywa naanza kuongea nae thena anakitangazia hicho anachkiita kitab chake anakiuza buku,

Ni mjasiriamali huyu anamake mipessa
 
anadai kuwa wanawake tuwe na huruma na wenzetu coz tupo wengi na wanaume ni wachache so inabd tusheeee, hahahaaaa
Hii sasa ni desparation, kua umtreat mumeo kama mtoto?
kwamba unakua umekubali kua wewe kitumbua chako si lolote
si chochote hadi ale na vingine? Kwamba upo una ishi kwa ajili
ya kumridhisha huyo mume kama Mungu? hasa kwa uzuri gani alio
nao huyo house gal? ajaribu aone kibano cha mbwa mwizi!
 
anatumia mistar ya bible ndg yangu, hasa agano la kale, ametumia story ya sara na abraham
hmm hapana aisee huyo sasa sijui anajitahidi kufundisha nini watu.kama ye mkewe alimuacha aichape haucgel yake ndo anataka wote wawe hivyo>??matatizo yake na ndoa yake asitake kuambukiza na wenzie.
 
Back
Top Bottom