Hivi hali kama hii inasababishwa na nini ?

Falcon

JF-Expert Member
Aug 16, 2010
245
68
Nini hasa kinachosababisha baadhi ya wanawake kushindwa kufafisha tupu zao ?jee ndivyo walivyo kulia, ni mazingira au ni nini hasa kinachosababisha hali kama hiyo?
 
jibu sahihi analo muhusika .
ukikutana na mtu km uyo ndo umuulize ..bibie vp mbona aujaosha vyema?aujui?

lakin et mwajuma kashindwa kuosha kabat lake then ukaja kutuuliza sisi itakuwa ngumu kukujibu kwa vile kuna sababu nyng ndani yake na kujifanya shekh yahya dhambi na mimi stak ZAMB:nono:
 
Binafsi nilikuwa na mawazo kama uliyotowa lakini nimegunduwa panapokuwepo mkushaniko wa wanaume wakiwa wanapombeka hutokea malalamiko kama hayo wengine huenda mbali katika kuwahukumu wapenzi wao lakini pia inawezekana kama ulivyosema inahitajika wambie lakini swali linakuja hapa jee ni njia gani za kufikisha huo ujumbe bila ya kutokea mzozo kwa mfano wewe binafsi mpenzi wako akubaini utupu wako unanuka Uvundo than aseme mpenzi wee CHACHACHA inapalia kwa harufu chafu hutofurahi inambidi kumezea na kunungunika kwenye makundi ya pombe
 
Kinacho sababisha nikuto ambiwa tupu zao zina nuka! kwa hiyo pengine hajui.
 
Binafsi nilikuwa na mawazo kama uliyotowa lakini nimegunduwa panapokuwepo mkushaniko wa wanaume wakiwa wanapombeka hutokea malalamiko kama hayo wengine huenda mbali katika kuwahukumu wapenzi wao lakini pia inawezekana kama ulivyosema inahitajika wambie lakini swali linakuja hapa jee ni njia gani za kufikisha huo ujumbe bila ya kutokea mzozo kwa mfano wewe binafsi mpenzi wako akubaini utupu wako unanuka Uvundo than aseme mpenzi wee CHACHACHA inapalia kwa harufu chafu hutofurahi inambidi kumezea na kunungunika kwenye makundi ya pombe

Hebu mdada/mmama aokoe jahazi kwa kutoa uzi maalumu namna ya kuweka safi mwili hasa maeneo hayo, maana sioni km kuna mwanaume anayeweza kumwambia mpenzie eti ananuka maeneo hayo.
 
mmmmmh je na nyie wanaume tupu zenu mnazisafisha? Mnalima na kupalilia? Hazinuki mikojo?

Anyway kwa wanawake labda hayo majani ndivyo wenza wao wanavyopenda
 
huko ni kujisahau tu kwa wakina dada au uzembe. mtu anafuga makucha marefu na pia wengine wamebandika makucha na yana rangi sasa atajisafishaje huko? mpe darasa huyo ambaye hawezi jisafisha
 
mhh kuna wanaume wana nuka shombo haswaaaaaaa..wananuka ******..map....u..mb...dudu..wananuka kila ki

tu so kunuka ni tabia ya mtu awe ke au me...ni usafi tu....boksa wik ahh utaacha kunuka?kitu cha amazon twiga anajificha usinuke?kaenda kupuu hatumii maji usinike?ana jig jig afu wala hajioshi fresh jana katumia dume condom leo katumia salama condom yenye harufu ya nanas afu hasafishi fresh mwiko mafuta yanabakia pale kat usinuke?
KUNUKA HAKUNAGA JINSIA NI USAFI NA UCHAFU WA MTU

nawasilisha:lalala:
 
huko ni kujisahau tu kwa wakina dada au uzembe. mtu anafuga makucha marefu na pia wengine wamebandika makucha na yana rangi sasa atajisafishaje huko? mpe darasa huyo ambaye hawezi jisafisha

likewise to man..wajisafishe pia kuna wanaonuka pia.
 
Hebu mdada/mmama aokoe jahazi kwa kutoa uzi maalumu namna ya kuweka safi mwili hasa maeneo hayo, maana sioni km kuna mwanaume anayeweza kumwambia mpenzie eti ananuka maeneo hayo.

unaweza kumwambia mpz wako
km mnapendana kweli asi mnaambiana ukweli jaman...beb namna gan vp inatema ebu kaisop fresh....unamsaidia...wengne wananuka cz wanaumwa fangas....sasa usipomwambia ndo kusema utakuwa unaweka pua dirishan kila mkifakamiana?tel ha
 
nipo busy hapa angenikoma....

hah ahah ahah nakuwakilisha mama...wataisoma tu na damu zao za reptlia...wenyewe wananuka hatar mbona hatusemi?
afu et wanaogopa kuwaambia wake zao km wananuka sasa sjui wanazan wataota?kuna watu uchafu ni kawaida kwao so kunuka unakusikia wewe bila kumwambia bas imekula kwako na shangaz zako

pga kaz mama..ntawapepeta watakaa wima hofu toa napenda sana thread km izi..mwenye mada kaanza fresh wachangiaJI wanataka KUHUKUMU WANAWAKE KWAMBA WANANUKA WOOOTE na wao awanuk mhh puuuuuuuuuuuuuuuuuu:high5:
 
Binafsi nilikuwa na mawazo kama uliyotowa lakini nimegunduwa panapokuwepo mkushaniko wa wanaume wakiwa wanapombeka hutokea malalamiko kama hayo wengine huenda mbali katika kuwahukumu wapenzi wao lakini pia inawezekana kama ulivyosema inahitajika wambie lakini swali linakuja hapa jee ni njia gani za kufikisha huo ujumbe bila ya kutokea mzozo kwa mfano wewe binafsi mpenzi wako akubaini utupu wako unanuka Uvundo than aseme mpenzi wee CHACHACHA inapalia kwa harufu chafu hutofurahi inambidi kumezea na kunungunika kwenye makundi ya pombe

usimwambie kwa ukali..tell ha kwa upole
uenda ananuka kwa magonjwa
uenda ajafunzwa na anazan io ndo harufu ya k....so tel ha
 
Back
Top Bottom