Wana wa Bodi , habarini za usiku.
Mwanamke iwe mnafanya kazi pamoja, au umesafiri nae, ama iwe mmeshazoena kwa muda.
Na ikawa hujamtongoza, mtaongea vizuri na atakua kawaida.
Mistake pale...
Baada ya shutuma kali kuhusu dhana ya kwamba mapenzi bila pesa yamekufa sasa nimerudi na dhana ya mapenzi bila kuaminiana yamekufa. Ndio. Love without trust is dead. Au ukipenda unaweza kuiweka...
Hii nimeikuta kule kwa wavuti.com. Mtoto wa kike hata kiss hataki. Hata hug hataki. Lakini mtoto wa kiume bado ni king'ang'anizi tuu. Haondoki. Anasukumwa, anaanguka lakini bado yupo tuu. Mtoto wa...
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11:
AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA
Joseph Lyimo,Kiteto
mkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili...
Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo.
Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam,
huku nikimkumbuka...
Elton John Nikita - YouTube
Hey Nikita is it cold
In your little corner of the world
You could roll around the globe
And never find a warmer soul to know
Oh I saw you by the wall
Ten of your...
siku hizi bwana karibia kila msichana ambaye utamtongoza atakwambia umechelewa nimeshawahiwa....hivi hili linaukweli au ndio njia siku hizi wasichana wameamua kuitumia kuwakwepa wanaume
habari zenu wote humu ndani...mm ni mschna tangu nimeolewa ni mwaka mmoja tu! cjawah kugombana na mume wangu hata cku moja! nawapenda wifi zangu na shemeji zangu pia! jinsi ninavyoishi nao ni kama...
Ni miaka sita sasa tangu niishi na mpenz wangu ninaempenda kwa dhati.lakini naona ameanza kunibadilikia.ni kawaida yetu kuonana kila weekend.lakini cku hizi hana mda wa kuonana na mm,cmu...
Hivi kwann mke wa mtu, kwa nini Mume wa mtu?!?!?!
Starehe ya mda mfupi hiyo kumbuka, na ni kwamba unashindwa kucontrol ur desires!!!aaggggrrrrrrhh,achaaaa!!
kwa ninihili linatokea sana??? pindi mke anaposafiri mume either atatembea na jirani au kama ndo amepanga atatembea na mpangaji mwenzie naongea kwa experience ,je wanaume hamuwezi kuvumilia...
http://www.youtube.com/watch?v=DJAg35WOKVg&feature=related
Have I told you lately that I love you?
Have I told you there's no one else above you?
Fill my heart with gladness, take away all my...
Kauli ya kuwa unampenda sasa haina makalio yoyote
Kauli ya kuwa ni yeye tu anayedundia rohoni kwako ni bure
Kauli ya kuwa una mipango kamambe naye ahisi wataka mkopo
Kauli hizi zote yawaje aone...
Jamani nisaidieni kwenye hili,kuna jamaa yangu mmoja yeye ni mswalihina sana,katika story zetu tukafikia mahali ambapo alinishauri kuwa kila mnapomaliza faragha na mpenzi/mke wako lazima...
wewe una mke na jioni ukawa umeagana na mkeo unaenda kwa rafiki yako na ukamwambia mkeo kwamba utachelewa kurudi mkeo akakubaliana na wewe akakwambia ye atabaki nyumbani....kumbe wewe safari yako...
Does it drive anyone else absolutely crazy when couples (especially the expectant father) refer to being pregnant as "we're pregnant." Yaani ni sawa na mume anasema "tuna ujauzito". It's like they...
Phil Collins - Easy Lover - YouTube
Easy lover
She'll get a hold on you believe it
Like no other
Before you know it you'll be on your knees
She's an easy lover
She'll take your heart but you...
Before Marriage
Boy- At last. I can hardly wait. !
Girl- Do you want to leave?
Boy- No! Don't even think about it.
Girl- Do you love me?
Boy- Of course! Always
Girl-Have you ever cheated on me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.