Mangumi ni mapenzi ya kweli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mangumi ni mapenzi ya kweli

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RWEGASILA, May 3, 2012.

 1. R

  RWEGASILA Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  baadhi ya waandishi na magazeti ya udaku wamekuwa wakitangaza baadhi ya watu maarufu katika swala zima la mapenzi na kuonyesha kwa kiasi kikubwa baadhi ya wapenzi wakitwangana mangumi na kuachana kabisa lakini cha kushangaza kabila moja hapa Tanzania kutwangana ni kasumba yao nao uhishi kwa miaka mingi wakitwangana mangumi kwa nini mapenzi ya vijana wa leo hayadumu wakati swla zima la kukolofishana baina ya wapenzi ni jambo la kawaida .
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo 'kukolofishana' likiwa jambo la kawaida mahusiano yanatakiwa yadumu?
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Nataka tukoLofishane.
   
 4. Erotica

  Erotica JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Apr 24, 2012
  Messages: 2,514
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Utakua ulitaka kufikisha sana huu ujumbe, Yani post yako ya kwanza ndio hii. Ngoja nisome tena nielewe.
   
 5. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Nachukia sana violence kwenye mahusiano hasa katika ngazi ya familia kwa sababu inawaathiri watoto kisaikolojia na huwa watukukutu huku wakiwa hawana amani wala utulivu nyakati zote.
  Wazazi wanaweza kutamba na mahusiano yao ya kutoana ngeu huku wakijiona kwa wamechagua mtindo wao unique wa maisha wasijue unawakosesha watoto haki ya kulelewa katika mazingira yenye amani na utulivu.
  Mangumi si mapenzi ya kweli ni ulimbukeni uliokithiri.
   
 6. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Unampa ka kofi kiduchu.Ili dharau dharau Ziishe.
   
Loading...