Yaani jinsi 'alivyonivuruga' halafu kanipa 2000/=, sina hamu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yaani jinsi 'alivyonivuruga' halafu kanipa 2000/=, sina hamu!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ndyoko, Apr 30, 2012.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Haya ni malalamiko ya mwanamke ambayo amekuwa akiyatoa hadharani
  kwa wanaume ambao ni rafiki wa mwanaume ambaye alimpa 'uroda' na
  kuishia kuhongwa shilingi 2000/= baada ya kupelekewa 'moto' wa kutosha
  na huyo mwanaume.

  Ushauri anaowapa wanawake wenzake ni kwamba wasije wakapotea na
  kumkubalia jamaa kwani ni bahili asiye na mfano.

  Mambo ya w***uu hayo, mzizi wa aibu ulishakatika zamani ktk
  mambo ya ngono!
   
 2. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  buku 2 yote iyo,mi ningempa buku tu ya nauli
   
 3. The dirt paka

  The dirt paka JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Yeye na huyo mwanaume wote ni two I.diots Kwani huyo mwanamke ni muuza kuku? Na huyo jamaa ni kahaba au hajui anatakiwa kuwa na mke?
   
 4. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,257
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  ...usawa huu anapewa pesa yote hiyo, aaah!!
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwani yeye hakupata raha yaani nyie viumbe mnapenda sana kulalamika.Yaani kama mimi hiyo buku 2.Angeisikiliza kwenye bomba kama msaada ningemgaia kidogo maji ya kunywa.
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Huyo mwanamke kama ni mfanyabiashara ni bora akajisali TRA ili aweze kulipia kodi ya mapato. Na ahakikishe amepewa TIN yake.
   
 7. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kama jamaa alimpa kweli shughuli ya kutosha yeye ndo alitakiwa amlipe!!
   
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hivi ni lazima ulipie ukifanya ngono na mwanamke? Wanawake wanajidhalilisha kupita kiasi.
   
 9. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wanawake wanategemeana, Mi nkibeba ninayefanya naye kazi (Kampuni Moja) siwezi hata kufikiri kumpa hela. Na wengi ukisha mega kesho yake ofisini mnakuwa kama hamjuani tena. Utani na vitu vingine vinakatika.
   
 10. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Dooh katapeliwa...ingekuwa mimi ningebadilisha payment terms to avoid future disappointments, 75% advance payment is must.
   
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hivi kumbe siku hizi hiyo maneno ni biashara huria eh!
  Mie nilikuwa nafanyaga mali kauli, kisha nawatoa mswaki..........................
   
 12. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  buku 2 inatosha kwa sabuni yakutoa uchafu wote au cio demu.
   
 13. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  wajukuu wansoma hii maneno, shauri yako mie nimechoka mashauri ya kujadili matatizo kila uchao.
  Wakati mwingine viwe vikao vya kupeana pongezi aisee sio usuluhishi tuuuuu!
   
 14. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Loo! huyu sio mwanamke ni mwanaatoke mama asife,si angepatana bei kabla hajakwenda huvuliwa nguo? tena inawezakua anakelele za wizi ndani hujui kama anaona raha au uchungu,eti kanipa 2000 puka chaka.....
   
 15. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,346
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Kwani utamu aliufeel mwanaume tu? Si mnataka haki sawa shukuru umepewa hata hiyo buku 2.
   
 16. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  kwani alifanya naye ngono ili apewe hela au kutimiza tu haja za mwili
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Huyo atakuwa alitiGOliwa..ha ha ha
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Aseeeee
  Duuh!!!!
   
 19. p

  poto Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ni pm nikujuze
  N
   
 20. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kosa kubwa wanalofanya wapenzi wetu ni kufikiria kupewa held in replacement with sex. Kuna dada mmoja rafiki yangu niliwahi muuliza amewahi mnunulia jamaa yake zawadi au kumpa pesa? Akanaambia,si huwa nafanya naye mapenzi! Nilitamani hata kutapika,a graduate unaongea hivo? Nikamwambia twende na mi nikaku.....be ili nikupe hela,mpaka leo hataki kupiga story na mimi. Lakini lengo langu la kumuonesha ana mawazo ya kikahaba lilitimia.
   
Loading...