Makabila...........

Yasser5

JF-Expert Member
Mar 15, 2012
207
17
Wana jamvi najikujua ki style hii
naomba kuja makabila watani wak na kama kuna historia ya utani huo ulianzaje sio vibaya kwa faida ya wengi kama mim tusio jua
haya uwanja wa wanaojua historia hizo jimwayemwaye...........
naomba kuwasilisha jamvini

1.masistaduu na wachafu kuoga
2.masela  na mabrazameni
3.wabunge na mawazili
4.polisi na wavuta bangi
5.wabara na wanzanzibari
6.wahuni na wauza sura
7.wakorofi na wapole
8.abilia wa mbagala na abiria wa masaki
8.wacheza bao na wacheza pool tabel
9.wacheza kiduku na wacheza ngoma

hawa ndo watani wa jadi
over

Wana jamvi najikujua ki style hii
naomba kuja makabila watani wak na kama kuna historia ya utani huo ulianzaje sio vibaya kwa faida ya wengi kama mim tusio jua
haya uwanja wa wanaojua historia hizo jimwayemwaye...........
naomba kuwasilisha jamvini

kujikujua au KUJIKUNJUA? kuja au KUJUA? next time andika vizuri...

Kwa mtazamo wangu finyu ni kwamba Makabila Watani ilianza kutokana na kuhamahama kwa jamii ya Kabila kutoka sehemu moja kwenda nyingine, huenda kwa kukimbia vita au kutafuta malisho ya mifugo.

Hivyo katika kuhama wanapita katika eneo la kabila lingine, endapo kama kabila mwenyeji atamruhusu kupita basi hapo wanatengeneza undugu / watani.

Mfano ni Wangoni wakati wa vita vya maji maji walimopita na kushirikiana nao katika vita ile NDIO LEO WATANI WA WANGONI.

MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom