Ararua nguo zake hadharani alipogundua mumewe anaisaliti NDOA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ararua nguo zake hadharani alipogundua mumewe anaisaliti NDOA

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bajabiri, May 3, 2012.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Bi Elizabeth Edward ambaye ni mke wa aliyekua mgombea wa Urais wa USA BW John Edward kua ana kimwana kingine chenye umri wa miaka 30 tu,
  Bi Elizabeth ambaye anasumbuliwa na saratan ya titi licha ya kurarua nguo alizovaa,alizirai alipobain kuwa kimada wa mumewe ni mjamzito,
  Edward alifikishwa mahakama m0ja huko North Carolina sio tu kujibu shutuma hizo,ila pia kujibu kesi ya MATUMIZI MABAYA YA PESA ZA KAMPENI NA KIMADA WAKE,BADALA YA KUWEKEZA KWENYE KAMPENI,
  ENDAPO JOHN ATAKUTWA NA HATIA YA MASHTAKA HAYO ATAHUKUMIWA MIAKA 30 JELA AU FAINI DOLA ZA KIMAREKANI MIL 1.5.
  Sosi,bibisi swahili
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Is it?
   
 3. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Hiyo tafsiri yako nadhani imepitwa na wakati
  Swala la Edward na mke wake lilikwisha zamani na huyo mama ameshatangulia mbele ya HAKI -walitambua hilo,
   
 4. HOPECOMFORT

  HOPECOMFORT JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Feb 25, 2012
  Messages: 2,784
  Likes Received: 3,519
  Trophy Points: 280
  Jamani upendo huu
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kesi ya edward haijaisha mkuu,na mashahid akiwemo msemaj wa Edward ametoa ushahidi mahakama 1 huko n0rth Caroline
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  mahaba
   
 7. Dogo1

  Dogo1 JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,102
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  inawekana huyo mama nae ni mzinzi kuliko huyo jamaa yake, ana pretend tu huyo
   
 8. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ndo unaotakiwa!
   
 9. Prodigal Son

  Prodigal Son JF-Expert Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Dec 9, 2009
  Messages: 963
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nilichokisema mke aliyetendwa ameshatangulia mbele ya haki, sasa unayesema kararua nguo ni yupi/ Ni kimada au Marehemu????????
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kigezo?
   
 11. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  shahidi ameiambia mahakama jinsi huyo marehem alivorarua nguo kwenye maegesho ya uwanja wa ndege mmoja huko u.s.a,baada ya kugundua mumewe ni msaliti!
  Na mzozo ulianzia walipokua wakifanya shoping mahali
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Oh Yes!! Watch and take care on emotional parasites ... with 80% of breast/cervical CAs ... there is indirect history of deep rooted crisis in man woman relations ... !! ... Wakina Mama take it easy, samehi, no much kinyogo na misingo moyoni etc ... Itawarudi nyie na Wababa wanadunda na Dogo dogo!!
   
 13. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  aka babu sijidhalilishi mtoto wa kike amemwanga mboga na mwaga ugali = NGOMA DROO.
   
 14. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huyo mke wake alishakufa siku nyingi....aliyoyafanya huyo jamaa kweli inasikitisha bt mke wake alikua anaumwa siku nyingi kwa hiyo labda alikua hapati sex kwa mke wake...sasa mwanaume atakaa hivi hivi bila nyuchi wakati jamaa interns wake ni visichana vizuri na vilivyoenda shule
   
Loading...