Nimwache au niendelee nae? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimwache au niendelee nae?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nono ze utamu, May 3, 2012.

 1. N

  Nono ze utamu Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa akajitambulisha jina kinaga ubaga binti akagundua kuwa anamfahamu jamaa ambaye ni rafiki wa kaka yake je unahisi jamaa afanye nn? kwan binti kaelewa ombi.
   
 2. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,870
  Likes Received: 6,610
  Trophy Points: 280
  Mwache au endelea naye...
   
 3. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  siyo fb tu,hata hapa JF
   
 4. k

  kisukari JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  face book ina mambo
   
 5. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 10,222
  Likes Received: 2,087
  Trophy Points: 280
  Malizia...MAKUBWA SANA. Kama ilivyo MMU na longo longo zake
   
 6. DERICK2000

  DERICK2000 JF-Expert Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Endelea nae tu.maana facebook mtu hana vimwana au vibwana zaidi ya mmoja.endeleeni.mkikua mtaacha,mambo ya kupeana namba facebuk.
   
 7. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  " ya kaisali ya kamalizwe kwa kaisali"

  endeleeni kupendana ki fb,japo najua ni wewe imekukuta.
   
 8. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  "Imeandikwa kwamba msinyimane wakorinto wa pili kwa hiyo ninyi peaneni tu "
   
 9. N

  Nono ze utamu Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umeeleweka kaka ila hauisi kaka ake akijiua itakuwa mbaya?
   
 10. N

  Nono ze utamu Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naona rutashoborwa umeamua kunifananisha na w watunzi wa nyimbo za mapenzi za ibongo,tehe!tehe!.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kama ni kucheza nae, usitafute balaa na kaka potelea zako na kama unahisi unataka longterm relationship why not mwache atajue baadae.
   
 12. Facilitator

  Facilitator JF-Expert Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,288
  Likes Received: 802
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa namjua.
   
Loading...