nafuta mchumba wa kuoa aliyeokoka

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,120
757
Leo nataka nihusike na wale wanaosema kuwa wanatafuta wachumba waliookoka. Ili update mchumba aliyeokoka, ana kuokoka wewe kwanza. Huyo mchumba aliyeokoka atakubarika badaye. Mpokee yesu na kuamkabidhi maisha yako.
 
mi nimeokoka.......kuna jamaa alikuwa aniingize mkenge nikasanua.....ngoja nikuemail saa hii....
 
umeokokea wapi? kwa kakobe? mwingila? ngwajima? nahisi kama ume okokokea huku huwa wachumba mnajichukulia hukohuko,lakini wewe unaonekana umeokokea jf. kweli we ni mlokole wa ukweli hadi unatafuta mchumba huku,yani wahumini na wana kwaya wenzako huwataki tena.
 
wadada walio okoka mbona wako kila kona? tena wengi wana fedha na magari.... waliyonunuliwa na wababa.
 
Nawashukuru nyinyi wote kwa michango yenu ya mawazo. Tupo pamoja sana na Mungu awabariki
 
Kama kote ulikopita kanisani, chuoni, mtaani, umekosa hapa ukipata ujue umepatikana.
 
Back
Top Bottom