Nimwamini nani.... Nimpende nani.... Kila mtu ananigeukia.... Vigeugeu..... Vigeugeu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimwamini nani.... Nimpende nani.... Kila mtu ananigeukia.... Vigeugeu..... Vigeugeu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by dosama, May 4, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nilimwamini Mrema mwaka 1995 akanigeukia hasa alipokuja kuonyesha umamluki wa upinzani kwa CUF na wapinzani wengine kwa ishara na mwenendo wake wa kuuwa upinzani kwa kuvujisha siri kwa CCM na kuharibu harakati za chinichini kwa upinzani hasa wakati huo NCCR Mageuzi na CUF baada ya kugundulika akaanzisha cahama chake TLP.

  2000 nikamwamini CUF kuwa ndo mpinzani wa pekee nchini wakati huo NCCR Mageuzi ikawa inachechemea kwa Mbatia na wenzake na Mrema akawa hana pa kushika baada kwenye mihadhara kupotea bila kuonekana wakati wafuasi wake wakiambukia kichapo.

  2005 kwa nguvu na mpya na kasi mpya CUF ndo bado alikuwa mpinzani wa kweli bara na zenji nikaamini ukombozi wa kweli umekaribia kwa baati mbaya Zenji wakaibiwa kura ila bara likawa ni anguko la chama walipotezwa na JK vibaya mno CDM ndo wakuonekana kabisa, mrema ndo akasaulika kabisa

  2010 CUF wakafunga Ndoa na CCM wakawa wamija Zenji ila wanadai ukivuka maji si wamoja wakati huohuo viongozi wa CUF ndo walewale wa serikali kama mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi.

  Nikatoa uaminifu ndani ya CUF kwani wote ni wamoja nani atampinga mwenzake wakati waki kwenye sufuria moja.

  Na ndio mwaka ambao CDM inatafutwa kama lulu

  2012 CCM wanaongeza familia na NCCR Mapinduzi sasa nimwamini nani CDM, CUF,NCCR Mapinduzi au nani nimwamni kuwa mpinzani wa kweli maana wote naowaamini wanatudi kule kule kwa wenyenazo na mafisadi
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  muamini CHADEMA......
  kuchimbua kwao mambo kumewawezesha watu kufumbua macho na kujua haki zao za msingi......
  na vile vile kimewakumbusha wengine kufanya wajibu wao.....(nadhani unaona mabadiliko....)
  hivi ulikuwa unajua unadaiwa....?.....ulikuwa unawajua wanaokusababishia....kila siku bora ya jana.....?
  ulikuwa unajua kuwa.....wanyama unaodhani unao peke yako....kumbe unagawana na wenzio pasu pasu....?
  unafahamu kuwa una madini lakini wewe ni **** hujui matumizi yake....?
  hivi....aaaaghhh......
   
 3. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Preta upo?
  punguza munkari unaweza ukasababisha maandamano sasa hivi!
  :clap2::clap2::clap2:
   
 4. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Duh tz tumekwisha. Wote wa tz tumo shimoni, nani amuokoe mwenzake????
   
 5. G

  Godwishes JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 575
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Tuamini Katiba Mpya.
   
Loading...