Tuipongeze Original Comed-kipindi cha jana.......!

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Good morning Jeiefu!
Me wala hua sio mtizamaji mkuuubwa sana wa hii kitu,
kinikutatu katika ptapta zangu ndo naangalia.na hivyohivyo jana nikawa
nipo sehem napata riziki yangu ikajileta.
Kiukweli Masanja alifanya kazi kubwa sana.
Tunajua kua kuna msanii ataitwa sajuki na ni mgonjwa sana.
Alichofanya masanja ni kuhamasisha uchangiaji wa fedha wa jamaa huyu ili aweze kwenda india
kutibiwa.ingawa alikua anahamasisha kikomed zaidi lakini ilikua ina-touch na naamini atafanikiwa sana.
Niliipenda sana, manake juz tumemoteza msanii wetu mkubwa sana, tunajua kua yeye aliondoka ghafla
lakini kwa nini htunataka kushinwa kutetea maisha ya sajuki ilhali tunao uwezo wa kufanya hivyo?
nawaomba wote wenye moyo wa kizalendo na mapenzi mema na sanaa ya tz na ntz kwa ujumla
waipongeze original comed ya jana kwa kumchangia sajuki.

Ni hayotu.
 
si walituambia tumefulia na kama vipi tuwapotezee, sasa wanaomba msaada wa nini?
 
niliipenda pia,mtu anaumwa hakuna msaada akifa unapeleka mchango milion 1 haina maana
 
si walituambia tumefulia na kama vipi tuwapotezee, sasa wanaomba msaada wa nini?

ni maisha ya mtu hayo, achana na vijimaneno na revange ambazo hazina mpango! kama huna moyo huo, potezea waache wengine watoe!
 
Back
Top Bottom