Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Oooooh ooooh I never needed you to be strong I never needed you for pointin' out my wrongs i never needed pain,i never needed strenght My love for you was strong enough you should've known. I...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
...jamani mara moja moja kujipendelea muhimu. Hizi Romantic Retreats zinasaidia kupunguza usongo wa mawazo kwa wanandoa. Hakuna cha kusema '...Ooh, mambo ya wazungu hayo!'...Picha zote hizi ni...
24 Reactions
316 Replies
23K Views
  • Closed
Wabongo kwa kupeana moyo! Oh haijalishi mwili wako ukoje mradi una kidude cha kufanyia. Oh haina shobo mradi mwili wako msafi na maneno mengi ya kupeana moyo na kufarijiana. Inakuaje sasa kua...
5 Reactions
42 Replies
7K Views
Kwa mfano inatokea mkeo au mpenzi wako anakuletea taarifa kwamba ameteuliwa na kampuni anayofanyia kazi akasome nje ya nchi, inaweza ikawa Marekani, Canada au kwingineko ambapo itamlazimu akae...
0 Reactions
65 Replies
5K Views
Kama hawezi hakuna upendo achilia mbali mapenzi hapo!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za Weekend wana MMU, Kuna swali nimelisikia jana wakati tuko kwenye party kuna jamaa alikua ana muliza mpenzi wake"Eti nani zaidi kwenye sita kwa sita mimi au hao walio pita mwanzo...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwa wale waliooa, kupata tendo la ndoa ni haki ya kimsingi! Ikitokea mwenzio hakupi haki hiyo, basi unawezakwenda mahakamani kudai haki yako! Mahakama yaweza kufanya nini? Kwanza itatamka wazi...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Jamani nafahamu kuwa Jamii forums ina wadau wengi tena wenye taaluma tofauti na nyazifa mbalimbali. Mimi kwa taaluma ni Mwalimu, namalizia my first degree (Bed. Science (Chemistry & Biology))...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ninahitaji rafiki wa kike aliye mstaarabu umri kati ya miaka 18 hd 25,dini na kabila sio kikwazo ila awe mtu asiyjichubua au kutumia vipodozi hatarishi. mtu ambaye sio tegemezi na anayejituma...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Msema ukweli kipenzi cha Muumba hivyo sikani! Ya kuwa mie nawe tulikuwa beneti sana tena sana! Nakumbuka tulivyokutanishwa na aliyetutambulisha! Unyenyekevu wako ulinikoga na Kiswahili kuniyeyuka...
17 Reactions
140 Replies
11K Views
Walionena kuwa mapenzi ni ya wawili waliona mbali. Tena mbali sana. Wengi hujaribu kuomba ushauri hapa na pale, huku na kule lakini haisaidii kwa kuwa huwezi kueleza kilichojiri kati yako na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hebu wana JF tujadili hili,mnapoanza mapenzi kila mtu anakua na matarajio yake.maana hua ameumba picha ya aina ya mwenzi anaemuitaji akilini mwake.Na mnapoanza kujuana deep huku msha du ndo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana wa Bodi , habarini za usiku. Mwanamke iwe mnafanya kazi pamoja, au umesafiri nae, ama iwe mmeshazoena kwa muda. Na ikawa hujamtongoza, mtaongea vizuri na atakua kawaida. Mistake pale...
0 Reactions
46 Replies
4K Views
EAST AFRICA HERALD: Do educated women cheat more than their less educated counterparts? 'Like' us on facebook for more exclusive content!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya shutuma kali kuhusu dhana ya kwamba mapenzi bila pesa yamekufa sasa nimerudi na dhana ya mapenzi bila kuaminiana yamekufa. Ndio. Love without trust is dead. Au ukipenda unaweza kuiweka...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Hii nimeikuta kule kwa wavuti.com. Mtoto wa kike hata kiss hataki. Hata hug hataki. Lakini mtoto wa kiume bado ni king'ang'anizi tuu. Haondoki. Anasukumwa, anaanguka lakini bado yupo tuu. Mtoto wa...
3 Reactions
39 Replies
3K Views
Ananipenda sana,ila anawivu mno mpaka ananiudhi..Dawa yake ni nini wana mmu?.nataka anipende kiasi..
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Hii nimeinyaka kwenye gazeti la 'mwananchi' la leo uk 11: AUAWA BAADA YA KUFUMANIWA Joseph Lyimo,Kiteto mkazi wa kijiji cha Weza wilayani Kiteto mkoani Manyara ameuawa kwa kuchomwa visu mwili...
4 Reactions
153 Replies
10K Views
Sina shida ya kumuwaza mtu kila mara sababu huwa nawaza watu 7 ama 8 kwa mpigo. Yaani naweza mkumbuka mmoja kwa ucheshi, hapo hapo nikamkumbuka mwingine jinsi alivo handsam, huku nikimkumbuka...
3 Reactions
197 Replies
11K Views
Elton John Nikita - YouTube Hey Nikita is it cold In your little corner of the world You could roll around the globe And never find a warmer soul to know Oh I saw you by the wall Ten of your...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom