Jamaa akutwa na n.domu ikiwa na mchuzi. Mkewe anataka kuondoka!

Bondpost

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,602
9,353
Imekuwa alfajiri, simu yangu inaita, naipokea na kusikia sauti ya kike, anajitambulisha kuwa ni mke wa rafiki yangu. Nahamaki kwa kudhani jamaa amepatwa na ajali au vipi kwani nae ni mlevi kwa muda sasa.

Shemeji ananiita nyumbani kwao, nafika nakuta mke analia na bwana amelala fofofo, nauliza kama rafiki yangu anaumwa au vipi shemeji ananiambia kalala ila nikae anisimulie ndipo tumuamshe mshkaji. Naamua kukaa nipate kuelewa kwa nini yule bwana kalala usingizi wa pono huku mkewe akilia alfajiri yote ile.
Mwanamke anasema jamaa amerudi kalewa, mke akamsaidia kushuka kwenye gari mpaka ndani, lakini alipofika sebuleni jamaa akawa mzito so mke akaamua amlaze kwenye kochi, sasa akamvua shati na akawa anamvua suruali ndipo akakutana na kituko cha mwaka.

Jamaa ameivaa ndomu na mchuzi upo ndani, mkewe kaishiwa nguvu, anataka kuondoka ila ndio ana mimba na hana kazi kwani ndo amemaliza masomo ya chuo kikuu anataka akijifungua ndo awe busy kusaka kazi, mjini ana ndugu mmoja ambaye hawaivi.

Nikaamua kumuamsha jamaa na kumuuliza kilichotokea, jamaa hana la kufanya kukataa hawezi ila kabaki kuomba msamaha. Naye tulipokuwa wawili nikamuuliza kwa nini kafanya hivyo? Naye anachokumbuka alikuwa kwa party ya ofisi, kuna mwanamke mzambia ni bosi wake walipiga ma-cocktail ya kumwaga wakaishia kuji-do kwenye gari. Kilichoendelea hakumbuki.

Mkewe kaomba kukaa kwangu japo apate muda wa kufikiria zaidi, nimeongea na wife wangu amekubali ili tuisevu ndoa yao. Mke wa jamaa anaingia jioni ya leo. Wandugu mnadhani kwa hili tulilofanya tupo sawa?
 
Hiyo ni ishara nzuri kuwa jamaa anajali! Maana pamoja na kulewa lakini alikumbuka zana za kazi. La msingi mshauri mkewe asemehe tu!
 
Duh hatari.huna mwanaume hafai kabisa kwanza ni mlevi pili mzinifu kama analewa hadi hajitambie usishangai sku nyengine kuitwa then ukapewa kesi jamaa mwamemfanyia ki2 kibaya..me namshauri dada arudi 2 kwao alinde usalama hicho kiumbe alichokibeba.
 
Duh hatari.huyo mwanaume hafai kabisa kwanza ni mlevi pili mzinifu kama analewa hadi hajitambie usishangai sku nyengine kuitwa then ukapewa kesi jamaa mwamemfanyia ki2 kibaya..me namshauri dada arudi 2 kwao alinde usalama hicho kiumbe alichokibeba.
 
Hiyo ni ishara nzuri kuwa jamaa anajali! Maana pamoja na kulewa lakini alikumbuka zana za kazi. La msingi mshauri mkewe asemehe tu!

Nashukuru kwa ushauri ndo maana nimemkubalia mkewe aje kukaa kwangu mke wangu ampe kampani labda distance itawarudishia penzi lao.
 
na sisi tuloolewa tusemeje jamani.msiwe na wasi wasi wanaume wapo wa tabia tofauti.mtapata wasafi

You are trully such a lady! Ushauri mzuri sana kwa vijana wanaodhani ndoa ni kama uboyfriend.
 
ndoa ni mitikisiko ya ubongo ya kujitakia,ntachangia tu harusi za wenzangu..
Hapana olewa mimi!

Hapo ndo utapata mtikisiko zaidi pale utakapokuwa na watoto watatu kila mmoja na babaye!
 
may b ata unaeza kuta mshkaji alikua seduced, ukichangia na alikua tungi, xo mkewe amsamee tu, na pia mshkaji kwa kweli ajipange upya, so vizur ata kidogo, embu mshkaji ajiulize ingekua vp kamkuta mkewe kagawa nje? haifai 4 sure
 
As time goes wife hasira ztapungua na atasamehe ila duh,mshkaji inabidi ajirekebishe,otherwise atafka pabaya
 
Duh hatari.huyo mwanaume hafai kabisa kwanza ni mlevi pili mzinifu kama analewa hadi hajitambie usishangai sku nyengine kuitwa then ukapewa kesi jamaa mwamemfanyia ki2 kibaya..me namshauri dada arudi 2 kwao alinde usalama hicho kiumbe alichokibeba.

Naamini yeye ameshashuhudia yote, kwa ukweli sina cha kumshauri siwezi kutoa neno lolote kwa hapo. Ndo maana nimempa refuge akae kwangu mpaka atakapoamua la kufanya maana maamuzi wakati wa hasira mara nyingi hukosa busara. Kumbuka the best interest ya mtoto atakaezaliwa na mama hana kazi kwa sasa, ndugu wapo mkoani tena wilayani huko.
 
mwambhe amsamehe tu mmewe kwanza anajali sana,pili amekiri kosa na kuomba msamaha,tatu ndo kwanza wanainza safari ya ndoa,huo ni upepo utapita tu.bado kuna mengi na makubwa sana atakutana nayo anapaswa kuwa mvumilivu.
 
Hapo ndo utapata mtikisiko zaidi pale utakapokuwa na watoto watatu kila mmoja na babaye!

toto moja inatosha,..kwa mtaji huo ndoa ni kifungo mimi sitaki kwenda kununua stress huko ndoani..mliopo na mnaotaka kuingia kila la kheri...
Mie observer huku nje mkipigana mawe humo ndani..
 
Back
Top Bottom