Waraka wa wazi kwa The Finest. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waraka wa wazi kwa The Finest.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bishanga, May 5, 2012.

 1. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Ninapoandika waraka huu ni dakika moja baada ya kumalizika birthday yako.Hongera.
  Binafsi nimekuwa memba yapata muda sasa ndani ya jamvi hili la jf.Kama ni kuona nimeona mengi humu.Kwa kifupi i am a keen observer of the goings around here. Niseme neno moja:
  afrodenzi anakupenda!
  Ushauri wangu kwako:
  Mpende afrodenzi
  Muenzi afrodenzi
  Mfanye afrodenzi awe kitovu cha dunia yako
  Mkabidhi afrodenzi tunu ya roho yako
  Katu usim cheat
  Awe mboni ya jicho lako
  Daima dumu
  Na Inshallah
  Mkijaliwa kuoana
  Wanenu wakue vyema
  Wawe mfano wa tabia njema
  Ameeen.
  Ps:
  Kwa kuzingatia uzito wa waraka huu bishanga hatapost tena chochote kwenye uzi hu,alamsiki!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahahaha.. Bishanga hivi baada ya kuachana hapa Serena kumbe ulikuwa una lako kichwani afrodenzi she will always be there you know
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hahahahahahahah,

  Bishanga bwana unatisha...Umeandika haya kweli bila motivation ya kitu (brown envelope)??

  Haya bwana TF...ushindwe mwenyewe!!


  Happy B/day kama ni kweli!

  Babu DC!!
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Pendaneni.......
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,408
  Trophy Points: 280
  Bishanga Babu Jinga Abashaija.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Natafuta ile thread yako ya ukuwadi, nikompee na hichi anachofanya Bishanga. Naomba link
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hahahaha.. DarkCity brown envelope
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Hebu basi mjukuu wangu ninong'oneze, huyu bepari umekatia kama msimbazi ngapi vile?

  Babu DC!!
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Wapendane au wamependanishwa na Bishanga?

  Babu DC!!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lol...Babu DC mimi sio kama wale wabunge wa CCM waliokuwa wanagombea ubunge wa Afrika Mashariki
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  Bishanga mbona unanipeperushia ndege wangu?
  Tuna ugomvi mie na wewe?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  happy birthdAy
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Bishanga, umewshawa wee hadi umejikuna na kutumbua kipele.

  Ila fynest, kazia hapo hapo kama bishanga avosema ndo maana jana alikuwa katingwa na umbea.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Aiseee....kaaaazi kweli kweli!!!
   
 15. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  bila shaka bishanga alitupa ndowano kwa afrdenzi
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,237
  Likes Received: 3,658
  Trophy Points: 280
  Aaah!Sisi yetu macho,mabakuli yetu yamefungwa for good!
   
 17. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  bishanga mbona kama unamkuwadia finest?
  ndio mambo ya marriage consultant?
  finest kaz kwako na hongera sana una bahati yaani hadi kuwadi unaye??????????????????????
   
 18. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Bishanga umejitahidi kweli kumtafutilia penalti TF sasa ngoja tuone atavyopiga penalti hiyo kuelekea lango la Afrodensi hapa, namuona golikipa machachari kabisa Afrodensi yupo golini pale kulinda lango lake vyema.

  Refarii Bishanga anapuliza filimbi pale, mashabiki wote wa JF wanamuangalia TF anavyokwenda kupiga ile penalti.

  Haya moja mbili anakwenda TF anapiga mpira ule, anapiga mpira ule AME .......

  Ame....... inaweza kuwa amepata aua amekosa.

  Nipeni mji niwamalizie kama amekosa au kapata.
   
 19. Yummy

  Yummy JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 1,801
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hahahaaaaaa inaelekea Bishanga refarii mzuri sana
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  Hizi ndio shida za kupotea muda mrefu hata sijui trends za vitu humu jf....hongereni
   
Loading...