Wawezaje kujua kwamba unapendwa?

Nickson Maganya

New Member
Oct 27, 2011
4
1
Ktk maisha tulio nayo, vijana wengi tumekosa muelekeo kwa sababu ya kujihusisha ktk masuala ya kimapenzi hali hatujajianda na hatima yake tumekuwa ni watu akulalamika kwamba tatupendwi wengine wanadiliki kusema wanamikosi .Leo naomba tuulizane hivi utajuaje kama unapendwa na mwenzi wako?
 
Kwa upande wangu naona kwa wale wanao mcha Mungu wanapaswa kumuomba Mungu sana ili aweze kuwajulisha kama wale ambao wana mahusiano nao wanawapenda au la, kwa wale ambao bado wapo ktk mahusiano nafikiri wanapaswa kuchunguzana kwa muda mlefu sana kabla hawajaanza kufahamiana kimapenzi. Mahusiano ya siku hizi hayadumu kwa sababu watu wanayavamia kwan vijan wanapokutana vyuoni, shuleni bila kujali histiria zao wanaanza kuanganyana ati wanapendana na baada ya masomo yao kila mtu anakwenda anapojua. Hivyo mimi naona ni busara sana kwa vijanawa sasa kuiga mifano kutoka kwa babu zetu ambao kwa wakati wao kijana alielekezwa ni wapi nawakati gani anapaswa kujihusisha na masuala hayo.
 
Mimi nafikiri ukishajua kuwa wewe unampenda fulani basi inatosha. Maana hicho ndicho kitu pekee ambacho una uhakika na cho, akikupenda in return shukuru Mungu na asipokupenda vile vile shukuru Mungu; ila mara nyingi upendo wa kweli una nguvu sana so unaweza ukapendwa na wewe pia.
 
ukijisikia salama kuwa naye kwa mawazo na matendo yake basi wapendwa.
 
Hata kama nikijua kama ananipenda...kama simpendi haisaidii, kwangu mimi naona bado ni mkosi. Nafikiri swali lingekuwa vipi mtajua kama you are meant for each other....
 
Mimi nafikiri ukishajua kuwa wewe unampenda fulani basi inatosha. Maana hicho ndicho kitu pekee ambacho una uhakika na cho, akikupenda in return shukuru Mungu na asipokupenda vile vile shukuru Mungu; ila mara nyingi upendo wa kweli una nguvu sana so unaweza ukapendwa na wewe pia.

ubarikiwe,huwa nawaeleza wengi,jukumu lao ni kupenda tu
kupendwa ni jukumu la nafsi nyingine,huna uwezo kwa hilo
 
Back
Top Bottom