Unakuta ni dada/kakaako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unakuta ni dada/kakaako

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Msolid1990, May 5, 2012.

 1. Msolid1990

  Msolid1990 Senior Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Imekaaje siku umepost thread ya kutafuta gf/bf huku jf. Then anajitokeza mtu ambaye yuko serious mnapanga kukutana. Unexpectedly unakuta ni dada/kakaako ambaye alikua anakusisitiza sana usijiingize kwenye masuala ya mapenzi mapema.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hiyo tunaita ajali kazini...kuna watu humu baba/mama zao wapo so mnaopenda kutongozana humu kuweni makini:rolleyes:
   
 3. Msolid1990

  Msolid1990 Senior Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Duh! Ajali kazini tena.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  huo ndo mwaka wa kuzaliwa?
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,977
  Likes Received: 23,681
  Trophy Points: 280
  Hahaha watoto @ work siyo?
   
 6. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  no big deal... issue ingekuwa umechukua mlupo usiku wa manane uka-do nao gizani halafu asubuhi kucheck ukagundua ni dadako tumbo moja...
   
 7. Msolid1990

  Msolid1990 Senior Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hapana ndo wa kuoa
   
 8. Msolid1990

  Msolid1990 Senior Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 142
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Angalia usijemuita babaako mtoto. Lol
   
 9. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Nani amshangae mwenzie hapo....
   
 10. Ndechumia

  Ndechumia JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,015
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hapa kila mtu atakuwa anamsifia mwenzie kwa ngonjera
   
 11. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Hivi mpaka mnapeana no za Simu, kama dada yako hujastuka tu?

  Au mipango yote mlimalizia JF?

  Ila mimi huwa na wasiwasi na nephews zangu, na hivi vijana wameingia wengi humu!
   
 12. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,457
  Trophy Points: 280
  Haiwezekan mpaka kukutana hamjajuana kwakuwa lazma mpaka kukutana mtakuwa msha exchange namba za simu na hilo litawafanya kugunduana
   
Loading...