Daa waandishi na mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Daa waandishi na mapenzi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by RWEGASILA, May 6, 2012.

 1. R

  RWEGASILA Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo kuna baadhi ya magazeti ya memripoti daimond kuwa ana mganga wa mapenzi hapana naweza kulikataa swala zima la kusema kuwa diamondi anadawa ya mapenzi bali baadhi ya watu wamenukuu vibaya baadhi ya hawa madada wamekuwa wakimfuata diamondi kwa sababu ya umaarufu na yeye mwenyewe kupenda kutembea na masuper star wenzake naomba mnisadie diamondi ana mapenzi ya kweli kwa hawa wakina dada
  :A S-baby::A S-baby::wacko::wacko::wacko::wacko::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::yawn::wacko:
   
 2. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,320
  Likes Received: 2,307
  Trophy Points: 280
  Duu we noma swali la diamond tulijibu sisi?
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Najisikia mavune kuchangia mada ya huyu Diamond! Hakika nimetokea kutompenda, kutokana na tabia yake ya "chovyachovya" na si vinginevyo!
   
 4. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Naunga mkono hoja! Na wanawake wanaompapatikia yaani sijui nawaonaje tu......mwanamme kutwa kucha kuruka tu na kudhalilisha wenzie khaaa!! Au ndo mauzo hadi kwenye mapenzi??
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  umehoji, ukajijibu, ukamaliza kutuomba tukusaidie......

  Sasa sisi tutajuaje kama diamond ana mapenzi ya kweli? Sisi ni diamond? Au sisi ndo moyo na akili ya diamond?
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Labda !
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hii topic ipelekwe kule kwenye celebrities forum...wanaopenda masupa stars watachangia...hapa tunaongelea mapenzi na mahusiano ya jamii sio kwa hao waliojua hela na umaarufu ukubwani:A S 13:
   
 9. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kama kadawia ! Nite mover ! Nakuonea gere wewe umelala ! Comments zako zinajiandika zenyewe !
  Uje unifundishe huo utaalamu!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280
  Hahahhaaaa mie usingizi umekata toka saa saba, madhara ya kulala maprma haya. Nimetoka job, nikala na kuoga saa moja nimepanda kitandani. Nimeshtuka saa sita-saba hivi mpaka sasa usingizi umegoma aaaarrrrgghhhhh Judgement


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ok mazee BT mda huu, ndo naacha kubofya !
  Nipange mbavu! Sa10 now!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,865
  Likes Received: 6,216
  Trophy Points: 280

  lala unono, mie bado nipo
   
 13. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  afu itakusaidiaje wewe?
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  May 6, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Hivi Kongosho huwa unalala saa ngapi?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  May 6, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Ndo natoka Fyatanga ya huku kwetu.

  Hujambo?

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...