Dogo Renato Manyeto.....part one# | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dogo Renato Manyeto.....part one#

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kingsimba, May 6, 2012.

 1. K

  Kingsimba JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 376
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unahisi unampenda?ndio swali lilo fatia.....
  Nikashindwa kumjibu mzee yule na maneno yakaanza kumtoka ohh.....mtoto mdogo unapenda wakubwa hujishangai wewe.....
  Kwa haraka nikaanza kusukuma ring langu la baiskeli ili niweze kumpitia denge swaumu......mwanamke mrembo anae ukosha moyo wangu mpole mrembo mwenye shepu yenye ujazo wa pakiti mbili za amila...............
  Guu guu, ukisema kuhusu jicho sizungumuzi miangu.....
  Mbio kwa njia ya mkato mpaka kwa mzee kauchinja gengeni namsikilizia atapita tuu speed ya jeti mguuni na chacha.
  Hapo nikiwa na umri wa miaka 9....nasoma shule ya msingi bunge dalasa la pili...
  ''Wana nitawamalizia subiri niende kwa mama ntilie anijazie kidogo''
   
Loading...