Uchungu wa kutoswa upo vipi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchungu wa kutoswa upo vipi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Machozi ya Simba, Apr 27, 2012.

 1. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,109
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  hey guyz mapenz nadhan yanajulikana na kila mtu anayajua ni mazuri hadi yanaleta furaha kupita kiasi ila bwana yanaumiza pia kupita kiasi so PlZ TOA MAWAZO AU TUPE EXPERIENCE YAKO YA UCHUNGU ULIOPATA ULIPOTOSWA je ulilia au?
   
 2. A

  Ave Ave Maria JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 10,757
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 0
  Wewe......kutoswa kusikieni tu hivihivi, hasa kwa mtu uliyempenda kwa dhati na tayari ulishajiwekea nae malengo /kuishi nae kwa nia ya dhati kabisa! Kuvunjika kwa penzi kati ya wawili walopendana ni kubaya sana, for hakupigi kelele ....ila kwaweza acha alama na maumivu kwa mmoja wao or to both parties..., ambayo kufutika kwake yategemea sana na mind tune ya mhusika!!
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  subiri ukitoswa utajua.
   
 4. Machozi ya Simba

  Machozi ya Simba JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 2,109
  Likes Received: 843
  Trophy Points: 280
  wengine nasikia wananunua dawa ambazo hawatoswi
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wengne tumetoswa hadi mioyo yetu imeota sugu,so no more pains.
   
 6. ISSA SHARAFI

  ISSA SHARAFI JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 407
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ninachoamini maumivu ya mapenzi hayafanani kwa wote coz kila mtu ananyongo yake hivyo yote utakayoambiwa yanaweza kuwa tofauti pindi ukitoswa. hayo 2.
   
 7. tabibumtaratibu

  tabibumtaratibu JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: May 29, 2011
  Messages: 2,297
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  We sema 2 umetoswa na unataka kujua km je wenzio waliumia km ww ulivyomia
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  subiri utaujua ukipigwa chini
   
 9. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  wengine hatujawahi kulifaham hilo.hebu tupe xpiriensi yako
   
 10. Siri Sirini

  Siri Sirini JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Me hakuna bf aliyewahi kunitosa, me ndio nilikuwa nawatosa, ila cjui waliumiaje.
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Maumivu ya kutoswa ni ya kawaida.
  Maumivu makali zaidi ni yale ya kufumania.
   
 12. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #12
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  No more pains just another day!
   
 13. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #13
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Omba isikutokee aidha udumu na wa kwanza au wewe ndio uwe unatosa na si kutoswa.
   
 14. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kuwa uyaone...
   
 15. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Hi kitu hajaipata bado ila akishakuwa itamtokea tu,,,,
   
 16. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,649
  Likes Received: 82,382
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,745
  Likes Received: 12,822
  Trophy Points: 280
  nimekupenda
   
 18. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  huwezi kuelewa hadi yakufike.toswa kwanza ndio utaelewa
   
 19. ummu kulthum

  ummu kulthum JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 2,791
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  achana na kuachwa wakati mtu bado unampenda inauma hii kitu na hakuna mfariji isipokuwa ww na moyo wako kujisahaulisha.
   
 20. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Nilifurahi na kushukuru.
   
Loading...