Huyu Kama hana HIV atakuwa ni mmoja Wa wale Wachache ambao hawana CXCR4 na CCR5 ambazo ni chembechembe zinazomwezesha kirusi kujishiliza katika seli za mwili, kama huna hizi vitu hata ufanye mapenzi na watu 100 wenye virusi vya ukimwi huwezi kupata maambukizi