Ulimi. . . . . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulimi. . . . .

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Eiyer, May 22, 2012.

 1. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Sote tunajua kazi ya ulimi wakati wa kula chakula,bila ulimi huwezi kutafuna,bila ya ulimi huwezi kusikia ladha.Lakini kwenye uhusiano ulimi nao unahusika kwenye kuuimarisha uhusiano au kuuvunja.Ndo maana unasikia chunga ulimi wako!Lakini ulimi pia husaka na kunogesha UTAMU wa uhusiano,Je wajua namna ya kuutumia?Kama hujui pole sana unakosa mengi.Hebu watafute wajuzi!
   
 2. Edoedward1

  Edoedward1 JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 799
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  mmh haya hongera!
   
 3. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ulimi una sifa tatu.

  Ukiwa unaongea maneno mazuri utakupeleka kwenye sehemu nzuri.

  Ukiwa unautumia kwa maneno mabaya utakupeleka kwenye sehmu mbaya.

  Ukiwa haujautumia kabisa ni bora kwako, mana wengine hawaujui thamani yake wasije kutumia kwenye sehemu zisizo tumika :biggrin:
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  ulimi unaweza kujenga kwa kuongea lugha ya stahana tamu kwa mwenza wako......

  Ulimi pia unaweza tumika katika tendo la ndoa baina ya wenzi, tena una matumizi mengi sana sekta hii.......

  Usiku mwema.
   
 5. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,966
  Likes Received: 1,858
  Trophy Points: 280
  Ulimi ni kiungo kido lakin matatizo yake ni makubwa sana. so inahitajika kujua matumizi yake katika kila ufanyacho. Ulimi kwa wawili hutakiwa kutumika vyema ili kuamsha hisia za mapenzi kati ya wapendanao. utumike kutamka maneno mazuri yenye mvuto wa kimahaba, tena yenye kuleta amani na upendo na furaha kati yenu kuliko kuleta hasira,mafarakano jeuri na kiburi.

  katika 6*6 ulimi utumike kama kiungo cha kuleta raha. Hapa kinatumika mithili ya mtu anawezavyo kutumia kiungo chchote kingine.
   
 7. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,745
  Likes Received: 82,686
  Trophy Points: 280
  hehehehe...nyama ya ulimi siyo!?...huwapagawisha wengi sana.   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Nimekumbuka wimbo 'huyo mgonjwa anaumwa, anataka nyama ya ulimi eeh', sijui ulikuwa wa rtd ama kuna kajamaa kalikuwa kananiimbisha? Hata sikumbuki, BAK plz help!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,745
  Likes Received: 82,686
  Trophy Points: 280

  Mhhhh! King'asti wimbo huu hata mie umenipiga chenga.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Strangely nakumbuka only that line, nothing else! Mmmh, labda yule sweetheart wangu tuliesoma nae chekechea alikuwaga ananiimbia as we held hands tukienda skuli kunywa uji...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,745
  Likes Received: 82,686
  Trophy Points: 280

  Mhhhh! Best.... I reserve my comments :):)
   
 12. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,630
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Wataalam wa sayansi ya tiba wanasema matumizi ya ulimi ni kuonja, kusogeza chakula kooni, kuumba maneno, n.k. Kwa wanyama wasio na akili (wala kinyaa) mfano mbwa hulamba hata sehemu zao chafu za siri ili kuzisafisa kwa sababu watumia instinct. Ukitemea mate chakula binadamu atashindwa kula, au mkojo ukidondokea kwenye msosi hauliki coz ana akili and hence kinyaa.
   
 13. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  it looks like kula denda au kuzuru uvinza ni mpaka mtu acharazwe viboko hapa ...
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Unaposema sehemu zao chafu za siri unamaanisha nini?
   
 15. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,455
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Kumbe jamaa ana sehemu ya siri chafu=gono la mdomo,utachubuka na kuwa mwekundu ka mnya gongo,usisubutu kukutwa.
   
 16. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,675
  Trophy Points: 280
  Gaspery lasway,uchafu ni private matter,sio kila mmoja ni mchafu.Huwezi kusema eti kwa sababu kuna watu wasiopiga mswaki basi watu wasibusiane!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...