Mchakato wa kumtafuta mchawi katika kujivua gamba la mfumo dume (sehemu ya kwanza)

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,999
Wakuu wa JF, mabibi na mabwana Salamu,
Naomba tuendelee kujadili hili swala la uchangiwaji wa madaraka ya nyumba linalomhu baba na mama,
Tuanze kwaza huko nyuma kabla ya kufika hapa kwa nyumba...sana sana kwenye 'courtship'.
Nauliza swali moja tu kwanza kisha mchakato utaendelea,

KINA DADA/MAMA: Ni wangapi kati yenu mlidiriki kugharamia mitoko yenu na baba nanihii mtarajiwa kufikia
kiwango cha asilimia 50 kwa kila 50% baba nanihii alizochangia?

KINA KAKA/BABA : Ni wangapi kati yenu mliwahi kuwa na wenzi ama kuona wenzi waliojitoa
kugharamia kufikia 50% ya mitoko?
 
Kwa kweli mimi katika pitapita zangu sijawahi kuona
 
mie niligharimia mitoko kulingana na kipato changu, yeye alikuwa ananizidi hata hivyo mara nyingi alikuwa anakataa hata nikitaka kuchangia.

Tena siku zingine nilikuwa namhonga japo ndogo ila anafurahiiiiiii.
 
Back
Top Bottom