Kuna mahusiano ya mapenzi without sex?

Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili.kama terms zenu ni no ku do ..Automatically
mnapokuwa pamoja mnaongelea maendelea
Siasa za CCM na Chadema ,Maisha kwa ujumla na mengineyo
Mie nadhani inawezekana lakini pale mtakapoamua sasa tunaanza ku do tumeshindwa mapenzi bila kudo mnaangalia si mnakubaliana tu ....

karibu mgeni naona post yako ya kwanza inaanzia mapenzi bila sex..
Kuna mtu kakunyima ?
 
Kwani wewe kwa uelewe wako mapenzi na sexy ni kitu kimoja? Mie nadhani mapenzi ni pana zaidi, na katika mazingira fulani sexy ni indicator ya mapenzi. we lizzy mie nakutrotia unataka uende kwa van ndoo nini hivyo au hunioni?
 
@Mpitangwa kwani na wewe unaweza/taka mapenzi bila sex?
 
Inawezekana kabisa mkawa wapenzi lakini hamfanyi sex,kuna rafiki yangu yupo hivyo na mwenza wake na wanaishi vizuri tu bila matatizo kwani bado hawako tayari kufanya tendo.
 
Mapenzi ni makubaliano ya watu wawili.kama terms zenu ni no ku do ..Automatically
mnapokuwa pamoja mnaongelea maendelea
Siasa za CCM na Chadema ,Maisha kwa ujumla na mengineyo
Mie nadhani inawezekana lakini pale mtakapoamua sasa tunaanza ku do tumeshindwa mapenzi bila kudo mnaangalia si mnakubaliana tu ....

karibu mgeni naona post yako ya kwanza inaanzia mapenzi bila sex..
Kuna mtu kakunyima ?

hahaa,siasa za ccm na chadema. meipenda FirstLady1
 
Last edited by a moderator:
watu wanavyoanzisha uhusiano wa kimapenzi..lengo kuu ni kufanya sex (in the end-wether for pleasure of for making babies)
unaweza ukawa na uhusiano bila ngono lakini mwishowe uwe tayari kuifanya
 
Inawezekana...Lakini inategemea sana na feelings zenu ziko vip..sisi ni wanadamu bwana na sio malaika
 
Inanbidi mzee mmoja atufundishe tofauti kati ya Upendo, Mapenzi, Mapenzi(ngono, sijui sex, sijui ku do, sijui tendo la ndoa). Mbu, Asprin na Dark City tusaidieni wajukuu zenu. Mana mi nachanganyikiwa na hizi maneno.
 
Last edited by a moderator:
Wee Lizzy, hujawahi kumsikia Shetani au Shetwani? kazi yake ni nini kwa wapenzi, kama tutakavyo kuwa mimi na wewe?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom