Jamani naomba ushauri wa haraka iwezekanavyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani naomba ushauri wa haraka iwezekanavyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Joseph, May 22, 2012.

 1. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #1
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili.
  Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu.
  Wadau naomba ushauri wenu wa nini kinaendelea na nini cha kufanya.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  May 22, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu Joseph ninahakika hayo ni majaribu tu inabidi mzidishe maombi mtashinda,kama mlikua mnasali kabla ya kulala sasa anzisha mchakato wa kulala mapema then amkeni na familia yenu yote kuanzia saa saba msali hata kwa masaa mawili then wewe na mkeo salini mara kwa mara hata mara tatu kwa usiku mzima.naamini hayo ni majarbu ukifanya kwa mfululizo utamjua nani kafanya hvyo ndani ya mwezi.mwambie Mungu sifi mpaka nimeuona utukufu wako,siogopi lolote kwakua najua upo nami wakati wote,fanya muujiza kabla hakujapambazuka....nipe feedback
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #3
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana Ruhazwe kwa kunitia imani na nitauchukua ushauri wako na kuufanyia kazi
   
 4. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #4
  May 22, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Ni vyema muendelee na maombi. Kuchanjwa usiku na mtu usiyemfahamu ni dalili tosha za kuwa mmechezewa na imani za kishirikiana.
   
 5. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #5
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tunaendelea na maombi na tunahitaji ya kwako pia maana huku nilipo hakuna kanisa wala mchungaji japo tunaweza pata ushauri wa kiimani.
   
 6. s

  strong lady Member

  #6
  May 22, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Endelea tu na maombi hakuna njia nyingine sahihi zaidi ya hiyo shetani anataka kukupima imani yako tu kama ipo haba
   
 7. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #7
  May 22, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Pole sana..........inahitajika kujizatiti kiimani zaidi, kama inawezekana ufunge safari na kumleta Padre/mtumishi aombe nanyi na kuibariki nyumba yako na familia nzima
   
 8. S

  Starn JF-Expert Member

  #8
  May 22, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Swali ni kwamba je hizo alama mlichunguza kama zipo kipindi mnaenda kulala au mmejikuta zipo asubuhi? suala lingine inwezekana ikawa ni matatizo ya ngozi jaribu kuwaona madaktari wa ngozi kwa ushauri zaidi, na pia endeleeni kufanya maombi
   
 9. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #9
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana kwa kunitia moyo
   
 10. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #10
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Asante sana,nitajitahidi kufanya hivyo pia.
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hatukuwa tumezichunguza wakati tunaenda kulala ila wakati wa kuamka asubuhi ndio mke wangu akaziona na zilikuwa bado zina damu damu ikimaanisha kuwa hazikuwa za muda mrefu sana,bahati nzuri mke wangu ni daktari na anajua vizuri kuhusu mambo ya ngozi hivyo suala la kuwa inawezekana ni matatizo ya ngozi halipo,bahati mbaya siwezi kupiga picha maeneo ya alama zilipo hizo chale ila hazifichiki hata kwa kuangalia kwa umbali wa mita moja.
  Nashukuru sana na tunaendelea na maombi.
   
 12. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Pole sana mkuu!
  Hayo ni majaribu ya shetani, kazana sana ktk maombi maana shetani ameona kuna kitu fulani mnakaribia kufanikiwa ambacho mmekuwa mnakiomba kwa muda mrefu, anachofanya ni kujaribu kuwakatisha tamaa ili msifikie lengo lenu. Endeleeni kuomba na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
   
 13. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Aisay yani utani pembeni ningekuwa mimi ningeisha hama nyumba, poleni sana mnaishi na majini :scared:
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  May 22, 2012
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Cha muhimu ni kuwa usiwe na wasiwasi. Endelea kusali kwa ratiba sawa na unavyosali sasa. Usifikirie kuhama nyumba wala kanisa unalosali. Elewa tu kuwa shetani anakujaribu, na ukiogopa anapata pa kushikilia
  Kumbuka kuwa biblia imerudia mara nyingi sana neno ...USIOGOPE... Ukiogopa tu (bila kujali unasali au una imani kiasi gani), utaanza kuzama kama Petro alivyotaka kuzama alipotembea juu ya maji...
   
 15. Zabibu

  Zabibu JF-Expert Member

  #15
  May 22, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  poleni sana,kazaneni kuomba sana na MUNGU mwaminifu atasikia maombi yenu
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  May 22, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,130
  Likes Received: 6,613
  Trophy Points: 280
  hapo mkuu,
  inatakiwa uwe na imani tena imani kweli kweli kwa MUNGU. tena ukubali
  kabisa kuwa MUNGU anaweza. kesheni mkiomba ila msipige kelele hata mtu wa nyumba
  ya pili asikie. kwa imani yangu MUNGU wetu ni mwaminifu tena ukimwita
  anasikia hasa sala za machozi, MUNGU huwa anajibu hapo hapo. simama imara
  katika kuomba na hakika MUNGU wetu atakuonyesha kitu.
   
 17. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #17
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Asante sana mkuu na nashukuru sana kwa ushauri
   
 18. mangulumbwisi

  mangulumbwisi Member

  #18
  May 22, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Majaribu ni kipimo kwa mtu aliyeokoka, Msichoke kuomba, vilevile mnaweza kuongezea na kufunga hata kwa siku moja ama tatu. Hizo ni nguvu za giza hamna haja ya kuogopa, maana kushindana kwetu si kwa damu na nyama bali ni............ Mungu wa Mbinguni na aendelee kuwalinda na kuwaepusha na mabaya yote. Msome zaburi ya 127. Bwana awe nanyi daima- Amen
   
 19. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #19
  May 22, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nashukuru sana kwa ushauri na tutaufanyia kazi kwani tunaamini maombi pekee ndio yatakayotuvusha katika hili,naomba pia utujumuishe katika maombi yako maana kwa sasa tunahitaji msaada wa kuunganisha nguvu pamoja na wengine kama wewe ndugu.
   
 20. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #20
  May 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  mnatakiwa kuzidisha maombi
   
Loading...