Shikamo dada, shikamo mama zinanisaidia sana. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shikamo dada, shikamo mama zinanisaidia sana.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kuku dume, Jun 18, 2012.

 1. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Nimekuwa nikikumbana na changamoto nyingi sana katikamaisha lakini kubwa ni wanawake kutaka niwe nao kimapenzi.
  Nilifikiria nikaona njia ya pekee ya kuwaepuka ni kuwaheshimu. Siunajua ukimtazama mtu usoni unatambua interest zake? Sasa dawa yao kili nikistukia tu ni 'shikamo dada, shikamo mama'.
  Wadada wamehamua kuja juu...wanadai nawadharau. Nashindwa kujua kimaadili ipi ni sawa. Kusalimia ama kunyuti?
  Wengine wanasema ni wadogo zangu/tunalingana...sasa eti ikitokea akazaliwa mtoto kwenu anayelingana na mjukuu wako lakini ni mtoto wa wazazi wako haitoshi akiwa dada yako hata kama umepita na umri wa miaka 40++?
  Mimi ntawasalimia...sidanganyiki.
   
 2. farkhina

  farkhina Platinum Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 12,831
  Likes Received: 775
  Trophy Points: 280
  Hahahaha nimependa self defence yako lol
   
 3. kuku dume

  kuku dume JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani ni kwanin usipokuwa na mishe na wadada wanakuchukia?
   
 4. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #4
  Jun 19, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #5
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,858
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  it doesnt matter mkuu,mbna wengne wanasalimiana lakn bdo wanabanjuana?
   
 6. awp

  awp JF-Expert Member

  #6
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  wanadai umri ni namba
   
 7. m

  mimdau Member

  #7
  Jun 19, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 3
  mwenzio mie huwa najifanya niko serias ile mbaya ,mpaka wananiogopa
   
 8. CORAL

  CORAL JF-Expert Member

  #8
  Jun 19, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,472
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Iko siku utatibuana na uliye naye sasa, utaanza mwenyewe kuwachekea.
   
 9. T

  The Infamous JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2012
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 719
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  unajua kazi ya 'kuku dume' hupanda wadogo mpaka wakubwa, wewe utakuwa kuku jike..vinginevyo badili hilo jina. huwezi jiita kidume wakati mkia matakoni.
   
Loading...